Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Yesu hakufufuka ili atubu, Bali ili wasioamini kama wewe wapate kutubu waokoke!


Kwa hiyo Tundu Lisu ni Yesu? Nijuavyo mimi Yesu alizaliwa na mama Bikira Maria ambaye alipata mimba kwa uwezo wa roho Mtakatifu, ...
 
CHADEMA tunashukuru kwa mrejesho wa ziara ya siku 12 ya Tundu Lissu na mgombea mwenza kutafuta wadhamini iliyowafikisha mikoa 16 ya Tanzania bara mikutano mikubwa sana na wananchi.

Kila mkoa sheria ya uchaguzi inataka watia nia Urais kupata wadhamini wasiopungua 200 kutoka kila mikoa 10 ya Tanzania bara na Miwili ya Zanzibar.

Ziara hiyo imewaonesha kuwa upinzani umekua zaidi na una nguvu kuliko ulivyokuwa 2015.

Mkurugenzi wa Uchaguzi yeyote anayegoma kutoa fomu za uchaguzi ni kosa na hivyo msimamizi wa uchaguzi anastahili kufutwa kazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi maana hawafai wala kutosha kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi.

CCM wana hofu ndiyo maana kunatokea matukio mengi ya kuingilia mchakato wa uchaguzi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa.

Mwaka 1958 mwl. Nyerere alihukumiwa kesi ya uchochezi ktk mahakama ya kihistoria ya Kisutu. Miaka 62 baadaye Tundu Lissu pia amekuwa mhanga wa kuitwa ktk Mahakama hiyo maarufu ya Kisutu na ametakiwa kutokea mbele ya Hakimu tarehe 26 Agosti 2020.

Siku ya tarehe 26 Agosti 2020 wamepanga nini mahakamani Kisutu, ni mwendesha mashitaka kuomba mbele ya Hakimu kuwa Tundu Lissu asomewe mashtaka mapya ili asipewe dhamana.

Njama ya kuitwa Kisutu tarehe 26 Agosti 2020 yabainishwa kwa kuwekwa hadharani leo
23 Agosti 2020 mkutano na waandishi wa habari Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA
Source: CHADEMA MEDIA TV
 
Tunahitaji kiongozi atakayefuta utawala wa IMLA nchini, atakayetuletea KATIBA YA WANANCHI na utawala utakaoheshimu demokrasia, haki za binadamu na utawala bora.
 

Attachments

  • magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 1
Kwa hiyo Tundu Lisu ni Yesu? Nijuavyo mimi Yesu alizaliwa na mama Bikira Maria ambaye alipata mimba kwa uwezo wa roho Mtakatifu, ...
Kama hizo sentensi mbili umeshindwa kuzielewa wallah hata nikiandika juzuu thenashara utabaki kukodolea tuu!
 
Kama hizo sentensi mbili umeshindwa kuzielewa wallah hata nikiandika juzuu thenashara utabaki kukodolea tuu!


Kushindwa kukuelewa kwangu kunaweza kuwa ni tatizo la pande zote mbili, ...
 
Nimemsikiliza mpaka ilipokatika na nahisi kuna ujumbe mzito.Jambo la kwanza siamini kama kweli JPM ana hofu kubwa ya kushindwa kiasi hicho ila kuna watu ndani ya CCM na serikali (rogue elements) ambao wanataka kumfurahisha JPM kwa kudhulumu haki za wengine.hili linatakiwa JPM mwenyewe alikemee la sivyo linamtia doa na kumpaisha Lissu bila sababu.

Jambo la pili ni kesi zinazomkabili Lissu,busara itumike amalizane na uchaguzi then apambane na kesi zake za uchochezi na hapo hata akienda Segerea sympathizers watakuwa wachache kuliko ikifanyika leo.

Jambo la tatu ni vyombo vya dola,kukwepa double standard na kuzipa tuhuma zote uzito sawa na tayari mfano Tulia Ackson na Sugu umeshaingia ndani ya records.

Jambo la nne ni tume ya uchaguzi ionyeshe anagalu kuwa iko concerned na yaliyotokea angalau hata kwa uwaondoa katika usimamizi wa uchaguzi wale wote wanaoonekana kwenda kinyume na kanuni hasa hao ambao wamenyima wapinzania fomu au kutoa fomu kwa mtu mwingine.

Jambo la tano ni kauli ya Lissu kuwa watakubali kushindwa katika uchaguzi huru na wa haki.Angalau NEC itusaidie kuonyesha kuwa mchakato ulikuwa huru na wa haki ili Lissu akishindwa tusaidiane na CCM kumzomea.

Kama tulivyopata habari za msiba wa Mkapa na tukahuzunika na tukamzika ndivyo uchaguzi utakavyopita,tutafurahi/kuhuzunika lakini mwisho wa siku maisha ni lazima yaendelee.
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
Vigezo vya ccm na si tume ya uchaguzi taifa.
Msitake kufanya ya ccm ndio ya nchi ya Tanzania
Weka hiyo sheria ya NEC aliyoivunja hapa
Weka hivyo vigezo ambavyo hakizi ili tuelewane na sio kupayuka payuka tu
 

Kumetokea nini?

Maana hii video yako imefika dakika ya 36:38 ikaanza kupiga honi mfululizo na video kukata moja kwa moja....

Kama kuna iliyo njema mpaka mwisho, turushie tafadhali...

Binafsi nina shauku kubwa mno kumtazama na kumsikiliza Mh. Rais wetu, Ndg Tundu A.M. Lissu...

Yaani nina bajeti maalumu ya bando kwa ajili ya kufuatilia chochote kumhusu Tundu Lissu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…