Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Shibuda hakuwa na Gari zuri alikuwa na mkweche kanunuliwa Gari mpya kapewa pesa nyingi pesa za walipa kodi kwa ajili ya kumfanyia Tundu ushetani, CCM kimekuwa chama wa wapenda haramu
 
MaCCM yana haa haa kweli kweli, kutaka kunyamazisha ukweli MCHUNGU. LIJIZI la 2,4 TRILLION, hafai kuongeza nchi.
CCM ni GENGE la MIJIZI, likiongozwa na LIJIZI PAPA.
Lissu Kimbiza mwizi wa trillion zetu hivyo hivyo.. kimya kimya..! #NIYEYE
#LISSURAIS2020
 
Shetani yupo kasambaa Duniani lakini shetani aliyepo CCM ni shetani mkuu ni Boss wa shetani ndiyo maana CCM hufanya vitendo ambavyo havifanywi na vyama vingine Duniani
 
Kasema kweli,ila anavilaumu vyombo vya habari bure kwani vinalinda maslahi yao, vinginevyo vitafungiwa.
 
Plan was Lissu to die; kulikuwa hakuna nyingine...

Sasa Lissu aliye hai tena atatusumbua mno!! Njia nyepesi ni kukata jina na kumsweka ndani tupumue pumue wakati wa kampeni...

Atatoka tukishamwapisha Rais wetu!!
 
Anajaza kupita Lowasa?, Muulize Mange anawajua vizuri watanzania
 
MaCCM yana haa haa humu, Lissu Kimbiza mwizi wa trillion zetu hivyo hivyo.. kimya kimya..! #NIYEYE
#LISSURAIS2020
CCM wote wapo kwa Lipumba na shibuda wanaingia na kutoka wahaha wakiwahimiza kuvuruga chadema ili wakiandamana wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi ama kuahirisha uchaguzi wapate kupumua kwanza
 
Awe makini tu, nakumbuka hata kipindi kile alituambia Ndugai wala nani hawezi kumvua ubunge wake na vifungu kibao tu vya sheria akatutajia ila mwisho wa siku wote tuliona nini kilitokea.

Hata kwenye ubunge wa Nasari pia alituambia mambo hayohayo ya Sheria this sheria that.

BTW:Miaka yote dunia inafuatilia chaguzi za nchi hii kupitia mifumo rasmi ya mabalozi na waangalizi wao wa uchaguzi na miaka yote hiyo toka 1995 hizo kelele za rough zinasikika tu.

Hao Amsterdam & Partners ndo dunia anayoizungumzia?
Mkuu Kuna watu wengi sana wamechukua nchi wakitokea uhamishoni,nje ya nchi zao,nitamshangaa sana Lissu kama amekaa nje kwa miaka mitatu bila mipango yoyote then anakuja kugombea akitegemea aje kutangazwa na NEC.Hivyo kwa kuwa hatujui Lissu amejiandaaje ,Ni vizuri kuchukua tahadhari na kuhakikisha haki inatendeka ili mshindi apatikane kwa haki ili tusije juta baadae.Najua Magufuli anapenda zaidi madaraka yake kuliko Tanzania na watu wake bali naamini akina JK watamsaidia kwenye hili ili kulinda maslahi mapana ya nchi yetu
 
Basi utakuwa ni mshamba fulani, maana kama ni kumuona hata kwenye media anaonekana sana tu. Halafu ww unaoonekana utakuwa ni jizee fulani ambaye umejua kutumia mitandao hivi karibuni, ndio maana unashoboka na stori za kipuuzi.
Tangu lini Mzee asiwe mtu?
Tangu lini mtoto akawa mtoto siku zote, naanza kuona jinsi unavyoishiwa kichwani na Ndiyo Maana unashobokea vitu vya kipumbavu ambavyo Kwanza havikuuusu, na ukiona Jambo la kipuuzi ukaamua likushughurishe kichwa, wewe ndo mpuuzi na mjinga

Mambo ya kipuuzi yakupite ili uwe mwelevu,
Mkuu nakuheshimu, kama umeshindwa kujiheshimu usinifutefuate tafadhari
 
Back
Top Bottom