Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiacha kutumia lugha za matusi mbele ya cyombo cya habari watamrusha tu hewani tena MUBASHARA 🧐🧐🧐
TAL ni akili kubwa Sana MATAGA wajipange
CCM wote wapo kwa Lipumba na shibuda wanaingia na kutoka wahaha wakiwahimiza kuvuruga chadema ili wakiandamana wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi ama kuahirisha uchaguzi wapate kupumua kwanzaMaCCM yana haa haa humu, Lissu Kimbiza mwizi wa trillion zetu hivyo hivyo.. kimya kimya..! #NIYEYE
#LISSURAIS2020
Simuoni kw tv
Huyu Robati haogopi wasiojulikana eee, watamdaka uko uko!!Muda mfupi ujao watapokea open letter kutoka Robert Amsterdam LLP.
Tv inaonyeshs?
Mkuu Kuna watu wengi sana wamechukua nchi wakitokea uhamishoni,nje ya nchi zao,nitamshangaa sana Lissu kama amekaa nje kwa miaka mitatu bila mipango yoyote then anakuja kugombea akitegemea aje kutangazwa na NEC.Hivyo kwa kuwa hatujui Lissu amejiandaaje ,Ni vizuri kuchukua tahadhari na kuhakikisha haki inatendeka ili mshindi apatikane kwa haki ili tusije juta baadae.Najua Magufuli anapenda zaidi madaraka yake kuliko Tanzania na watu wake bali naamini akina JK watamsaidia kwenye hili ili kulinda maslahi mapana ya nchi yetuAwe makini tu, nakumbuka hata kipindi kile alituambia Ndugai wala nani hawezi kumvua ubunge wake na vifungu kibao tu vya sheria akatutajia ila mwisho wa siku wote tuliona nini kilitokea.
Hata kwenye ubunge wa Nasari pia alituambia mambo hayohayo ya Sheria this sheria that.
BTW:Miaka yote dunia inafuatilia chaguzi za nchi hii kupitia mifumo rasmi ya mabalozi na waangalizi wao wa uchaguzi na miaka yote hiyo toka 1995 hizo kelele za rough zinasikika tu.
Hao Amsterdam & Partners ndo dunia anayoizungumzia?
Wenzake hurushwa live na mainstream media za Muzungu yeye eti Dar mpya halafu tunatishana eti Muzungu ana msapoti, mawe, ...
Tangu lini Mzee asiwe mtu?Basi utakuwa ni mshamba fulani, maana kama ni kumuona hata kwenye media anaonekana sana tu. Halafu ww unaoonekana utakuwa ni jizee fulani ambaye umejua kutumia mitandao hivi karibuni, ndio maana unashoboka na stori za kipuuzi.
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Ni kutishana tu. Lissu ni Lissu hakuna cha mzungu kumsapoti.
Tumuache tu agombee kwa uhuru na haki.