Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Sasa wakate jina la TL kwa vigezo vya ccm ndipo watajua hasira za wananchi zimefukuliwa wapi, maana walizoea kuwachukulia watanzania kama mazombi kwamba lolote wanaloamua wao kwa maslahi yao linafuatwa... Watanzania wasasa sio wa 2010 wala 2015 kimtazamo na kiuthubutu
Natamani NEC walikate jina lake nione nyie vikaragosi mtafanyaje.

Kama hamataishia kulalama mitandaoni kwa taarifa yako jina tunakata na hakuna lolote mtakalifanya.

Wewe unafikiri mtaleta vurugu muangaliwe tu ...Kwani mkipotezwa watu elfu nchi ikaendelea kuwa salama kuna tatizo.

Jaribuni kuleta vurugu muone na jina tunalikata.
 
Awe makini tu, nakumbuka hata kipindi kile alituambia Ndugai wala nani hawezi kumvua ubunge wake na vifungu kibao tu vya sheria akatutajia ila mwisho wa siku wote tuliona nini kilitokea.

Hata kwenye ubunge wa Nasari pia alituambia mambo hayohayo ya Sheria this sheria that.

BTW:Miaka yote dunia inafuatilia chaguzi za nchi hii kupitia mifumo rasmi ya mabalozi na waangalizi wao wa uchaguzi na miaka yote hiyo toka 1995 hizo kelele za rough zinasikika tu.

Hao Amsterdam & Partners ndo dunia anayoizungumzia?
Mimi natamani akatwe jina lake halafu nione Hawa Mbwa wa ufipa watafanyaje !

Maana wakiwa mtandaoni wanabweka Kama Mbwa Koko ukiwapeleka field zero tupu.
 
Ccm bila wakurugenz haipumui.... lisu awaambie wazi wananchi kwann hawajiulizi manasheria mkuu kuwarejesha wakurugenzi kibabe baada ya kesi ya kuwaondoa aliyoisimamia bwana wangwe kushinda.

Kama wangekua wanajiamini wangeruhusu wakurugenzi wasiwe wasimamizi
 
Dawa ni kuwapa kichapo cha mbwa koko kubwa jinga Shibuda na Profeselii Lipumba waliotumwa na CCM kwenda kufanya ushetani wao.
Jiandaeni kuingia barabarani mfumuliwe malinda na kusafishww mitaro .

Kwa taarifa yenu Jina linakatwa kwa kigezo cha kuanza kampeni mapema kinyume na maadili ya uchaguzi.
 
Ccm bila wakurugenz haipumui.... lisu awaambie wazi wananchi kwann hawajiulizi manasheria mkuu kuwarejesha wakurugenzi kibabe baada ya kesi ya kuwaondoa aliyoisimamia bwana wangwe kushinda.

Kama wangekua wanajiamini wangeruhusu wakurugenzi wasiwe wasimamizi
Kweli kabisa
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Kama kafanya kosa,atakatwa na pakwenda hana,na la kufanya hana,kwenye swala makinikia alitia vitisho Kama hivyo,badala yake wazungu wakaja wenyewe ikulu kumwona Magu,na mpaka Sasa hakuna aliyenyolewa bila maji,hii takataka haiwezi kushika nchi.
 
Back
Top Bottom