Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Vigezo na masharti kuzingatiwa, kama hatimizi atakatwa, wote tunapitia hayo kwenye maisha yetu, tusipotimiza vigezo vilivyowekwa aidha kwa kujua au kutokujua tunakatwa, ...
Hivyo wala siyo vigezo bali ni kutegeana kwa kumuogopa, woga ni kitu kibaya sana..
 
Mimi natamani akatwe jina lake halafu nione Hawa Mbwa wa ufipa watafanyaje !

Maana wakiwa mtandaoni wanabweka Kama Mbwa Koko ukiwapeleka field zero tupu.
Woga huu.
Sema "natamani abaki nione kichwa kibaya na muuaji atajinasua vipi"
 
Na hichi ndicho kinachowatesa muda huu nadhan aliepewa mlungula amuue lissu saivi lawama zote ziko kwake, jamaa antataga vibaya zile risasi zimempaisha juu kuliko yule ndege anayeitwa kipanga. Tundu Lissu ni adui aliyetengenezwa subiri movie ianze itawa cost sana upande ule
Mkuu hyo alietumwa naamini wamemkatia mbali huko mana ndy anaewatesa indirectly sasa !!Dunia hadaa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
 
Mbona tbcccm wapo hapo lakini kwenye taarifa ya habari huoni kitu?
 
Ccm lazima ianguke mwaka huu na kitakuwa historia kama Kanu Kenya.
Na KANU wakati ule inaanguka ilikuwa chama chenye watu makini kwelikweli, sembuse hii CCM yenye watu midabwada kama Polepole, Bashiru nk ambao wanachojua ni kumwimbia mtukufu nyimbo za kumsifu tuu!
 
Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
Thubutu!!
Fikra za kuua watu zipo Lumumba tu na mzee wenu wa bichwa baya.
Wauaji wakubwa watanzania tumewastukia.
 
Hata kama ni mimi lazima niziongelee ili wabaya wangu mzidi kuweweseka... Yaani magazine nzima halafu umeshindwa kunitoa uhai nisiongelee?
[emoji23][emoji23],Magazine nzima imeshindwa kuua mtu aisee,
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zake​
Hawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa​
Wewe ulipigwa makofi matatu na mjomba ako ukiwa mdogo unayakumbuka hadi leo sembuse risasi zaid ya 30 tena hata miaka 3 haijapita, muache azungumzie, kinakuuma nini labda mzee??
 
Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
Mpuuzi tu ndio atauliza upuuzi kama wako! Aliyoyafanya TL ni makubwa na yanagusa maisha halisi ya watu
 
Nilichogundua ni kwamba hoja zote za miaka mitano ya Magufuli zilizokuwa zinarudiwa rudiwa zimepanguliwa ndani ya wiki mbili tu na Lissu,sasa wanashindwa kujua watakuja na uongo gani,na Likitabu la ilani wameshachapisha ndiposa wanataka kufanya figisu ili jamaa asigombee.
 
BBC wameshajifunza siku hizi kuheshimu kanuni za kurusha maudhui Tanzania story yako lazima ipate upande wa pili.

Hotuba za Lissu ndio zitafanya vyombo vya habari vimkimbie au kuwapelekea kwenye matatizo na TCRA wakiamua kutimiza wajibu wao.

Leo tena ameshutumu watu wengi kwa makosa mbali mbali bila ya ushahidi, ametaja jeshi la polisi kutochunguza mlipuko wa ofisi za CDM Arusha na kuwataja CCM kama wahusika na kudai anao ushahidi.

Sasa hapo waliotajwa upande wao usiposikika kwa wale waliorusha hiyo habari TCRA wakiamua kufanya yao ivyo vyombo vijilaumu vyenyewe.

Kwa utaratibu wa hoja za Lissu atakuwa anavipa vyombo vya habari kazi ya ziada kila wanapoenda msikiliza.
 
Tatizo huwa hawana watu ngazi za chini ili kuendeleza kampeni mara kwa mara.
 
Ni wazi TAL ni mgonjwa wa akili pia, Kabla ya hizi consequences anazozitaka zitokee atuambie kwanza yeye kama mtanzania amelifanyia nini taifa lake zaidi ya kuhangaika kwa mabeberu? Huyu anatamani hata watu wakose madawa hospital wafe, Aandae tu magongo ya kuingia peke yake barabarani mana hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamhadaa
Wana CCM waandamizi ndani ya serekali iliwagharimu takribani miaka 20 kumwelewa Lissu. Sasa wewe una muda gani tangu uanze kumsikia?
 
Daah Yaani kila Lisu akiongea anaharibu tu.

Hawezi ficha kuwa katumwa na mabeberu.

Anaropoka kila kitu.
 
Back
Top Bottom