Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Ikiangalia walkability yake jamaa anaongeza madoido ili apate huruma hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa Rais!
Na ww piga rungu mguu uvunjike! kisha, ongeza madoido tukuhurumie bro wangu!
 
Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui

Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye
Mikono Anayo Alikuwa Anangoja Wa Nani?
 
Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa

View attachment 1568561
Magufuli na Lissu wapatane sisi Wakatoliki siyo tabia yetu kugombana na kutukanana majukwaani. Watubu na waweke taifa liwe moja.
 
Mungu amemponya kwa zaidi ya risasi 36! Yampasa amshukuru sana!
 
Back
Top Bottom