Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam

 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmeshaambiwa Lissu atafanya shughuli za kijamii, sasa hapo ndio mtafurahi, ameshaanza kazi za kijamii... sijui kama nyie vichwa maji mnaelewa maana ya hiyo statement, yaani Lissu atakuwa anajichanganya sokoni, kanisani, popote pale watu wanamcheki tu, zege halilali hilo.

Na ikimpendeza ataenda sokoni Mwanza, Zanzibar, Arusha, Geita, Kahama, popote pale ndani ya Tz hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…