Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Wewe ndio mjinga sasa!

Hakuna aliesema corona imemuogopa Magu! Ila kwa jinsi alivyoishughulikia bila kuleta taharuki kwa watu ndio kinafanya hao wachungaji unaoona wamepiga picha na Lisu wamkubali sana JPM.

Hao mimi nawafahamu sana. Hasa sehemu kama dar viongozi wa dini wakimuona Lisu anavyopayuka kuhusu corona wanamuona mbumbumbu tu
uongo utakusaidia nini dogo ?
 
Mmeshaambiwa Lissu atafanya shughuli za kijamii, sasa hapo ndio mtafurahi, ameshaanza kazi za kijamii... sijui kama nyie vichwa maji mnaelewa maana ya hiyo statement, yaani Lissu atakuwa anajichanganya sokoni, kanisani, popote pale watu wanamcheki tu, zege halilali hilo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwahiyo Lisu atakuwa anaenda sokoni kununua nyanya ili aonekane?
 
Hakuna kura za huruma
Hata aende akasali kwa Vatican

Tutamhurumia kwa kutunguliwa risasi, ila kura tunampigia Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Anayeomba kuhurumiwaanabembeleza mpaka anapiga magoti
 
Kama Magu ni kweli ameondowa Corona, basi atuondolee Ukimwi na Marelia, yaonekana huyu ana umungu mmoja pamoja na Baba ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.

..yaani mmepewa lift mnataka kupiga na honi eehhh...Mshukuruni Mungu basi hapo kwa hili, oneni majirani zetu bado COVID-19 inawatesa ati..!!
 
Moderator unaedit sana uzi huu , kama uwepo wa uzi huu unavunja sheria za jf tutaridhika tu kama utauondoa kabisa , huyu bado ni Mgombea Urais , kaa ukilifahamu hilo
 
Hali mbaya hadi kanisani mnaingia na camera

Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu
Hapa unamsema mwenyekiti wako sasa mana hadi kapu la sadaka amebeba sana😂😂😂poleni mambo ni mengi mmesahau for 5 years
 
Huyo ni mpiga picha wa kanisa?
7D8CC7F8-5213-4C63-A3B9-500465FA2D31.jpeg
 
Hakuna kura za huruma
Hata aende akasali kwa Vatican

Tutamhurumia kwa kutunguliwa risasi, ila kura tunampigia Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Wewe Bia Yetu usijifiche, sema tu wewe ndiye Pombe mwenyewe. Unajisikia vibaya hata Tundu Lissu akienda ktk ibada zake binafsi. Je! Ulipokuwa unachangisha fedha kanisani za harambee ya ujenzi wa msikiti, tena bila ridhaa ya Waisilamu, mbona tulikumezea tu?
 
Back
Top Bottom