Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Hiyo haitamsaidia!

Kama hao kina Mzinga wanamkubali sana Magu kwa jinsi alivyoihandle corona bila kufunga makanisa.
Kama Magu ni kweli ameondowa Corona, basi atuondolee Ukimwi na Marelia, yaonekana huyu ana umungu mmoja pamoja na Baba ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
 
Hata akienda kusafisha Choo gerezani kikubwa msaliti wa Nchi Tanzania hana nafasi
Hana nafasi wapi? usiandike vitu nusu nusu, km unaizungumzia Tanzania hii naamini balaa lake umeshaliona, mpaka mnamfungia bila sababu.

Lissu ni kama nyota, inan'gara tu, hata uifiche wapi itaangaza tu.
 
Hakuna kura za huruma
Hata aende akasali kwa Vatican

Tutamhurumia kwa kutunguliwa risasi, ila kura tunampigia Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Tutampa kura Tundu Lissu sio kwamba kwasababu ya huruma ila kwasababu anafaa.
Hatutaki msomi wa kubumba ambaye Hana sifa, PhD yake ni ya mashaka hata waliompa hiyo PhD hawana thesis yake maktaba, na ukihoji sana unapotezwa kama Ben Saanane.
Hata Kingereza cha kuombea maji hajui.
 
Leo hajapokea ekarist, maana hatuoni ktk hizo picha?
 
Hakuna kura za huruma
Hata aende akasali kwa Vatican

Tutamhurumia kwa kutunguliwa risasi, ila kura tunampigia Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kwani alikuambia anahitaji kura za huruma umemwona akipitisha mchango hapo mxxxuuu tuliza mshono
 
Hali mbaya kwenu na Tume yenu mnaovisingizia vyama vingine kumfungia Lissu wakati mwenyekiti wa Tume ni CCM kama wewe kiazi, mnamuogopa sana Lissu.
Mbowe kawaweka mfukoni, hakuna kufurukuta. Hata huyu jamaa mwenye jazba nakaa kwa kutulia. Kwanini msimwambie Mbowe sasa basi?. Mnataka kupambana na tingatinga, mtaweza kweli?.
 
Kama Magu ni kweli ameondowa Corona, basi atuondolee Ukimwi na Marelia, yaonekana huyu ana umungu mmoja pamoja na Baba ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
Hahahha... Ukimwi unaufuataga mwenyewe na biblia ilishaonya sasa wewe endekeza dezo uone utakavyo kunyausha.
 
Chama cha makanikia kimekwisha kabisa , kimebaki kutegemea nguvu za dola tu . Kama tume na msajiliccm wanatumia hivi Ina maana hata kura wataiba .
 
Kawadanganye wajinga eti corona imemuigopa Magu wakati huyo Magu mwenyewe alienda kujificha Chato.
Wewe ndio mjinga sasa!

Hakuna aliesema corona imemuogopa Magu! Ila kwa jinsi alivyoishughulikia bila kuleta taharuki kwa watu ndio kinafanya hao wachungaji unaoona wamepiga picha na Lisu wamkubali sana JPM.

Hao mimi nawafahamu sana. Hasa sehemu kama dar viongozi wa dini wakimuona Lisu anavyopayuka kuhusu corona wanamuona mbumbumbu tu
 
Back
Top Bottom