Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Wewe ndiye hunan huruma laki Wewe tu ndiye huna huruma, lakini wenzako tunamhurumia na tutampa kura zetu.
Wwe kweli kwa hilo jina lako la Mchokoo una haki ya kumpa Kura yako Lissu maana kasema ataruhusu Ushoga,na mtakua na haki zenu pia!!
 
Huo ni uwongo mnaolishwa na lissu msaliti wa Nchi

Mtaani ukitamka Magufuli watu wanasema kipenzi cha Watanzania, Mzalendo, MCHAPAKAZI

Ila kusema lissu wanasema msaliti wa Nchi, anatetea ushoga nk
Wewe sasa sio bia, ila ni Gongo. Kwahiyo Magufuli hajabomolea watu nyumba sio? Maisha saaafi sio? Kazi mnayo. Ndio maana Magufuli hathubutu kuruhusu uchaguzi wa haki. Lazima aengue wagombea wa upinzani.
 
Huo ni uwongo mnaolishwa na lissu msaliti wa Nchi

Mtaani ukitamka Magufuli watu wanasema kipenzi cha Watanzania, Mzalendo, MCHAPAKAZI

Ila kusema lissu wanasema msaliti wa Nchi, anatetea ushoga nk
Bi Jane Lowassa leo MATAGA yamekuachia shift ya wikendi peke yako 😂 😂😂
 
Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam

Kusema lile la ukweli,wewe Tundu Lissu sali sana na uzunguke makanisa yote kama ikikupendeza kwa ajili tu ya kutafuta pepo yako lakini urais huupati ng'oo.
 
Hakuna kura za huruma
Hata aende akasali kwa Vatican

Tutamhurumia kwa kutunguliwa risasi, ila kura tunampigia Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Mwishowe utatiwa do.le.....
kila ukisikia habari ya Lissu unaleta pua yako?
 
Kampeni zinaendelea kisayansi zaidi. Sirro aligwaya nini, baada ya kutia mkwara mzito?
Kumbe yuda lisu ana ndimi mbili, si alisema ataendelea leo na kampeni na wala hatambui adhabu alivyopewa? Mbona kafyata mkia kama mbwa koko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lissu the great.
Hali mbaya hadi kanisani mnaingia na camera

Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu
20200927_155732.jpg
 
Back
Top Bottom