Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Hiyo haitamsaidia!

Kama hao kina Mzinga wanamkubali sana Magu kwa jinsi alivyoihandle corona bila kufunga makanisa.
Umewahi kuingia moyoni kwa Mchungaji Mzinga ukajua kwamba anamkubali jiwe? hujui kitu sisi tulioko kwenye hizo taasisi ndio tunajua watu wanaigiza tu kwa maslahi yao kama unamkubali jiwe kikwel niww
 
Umewahi kuingia moyoni kwa Mchungaji Mzinga ukajua kwamba anamkubali jiwe? hujui kitu sisi tulioko kwenye hizo taasisi ndio tunajua watu wanaigiza tu kwa maslahi yao kama unamkubali jiwe kikwel niww
Huna unalojua mkuu bora ukae kimya tu.
 
My Goodness namuona my former pastor Charles Mzinga na Chidiel Lwiza hapo,
 
Huo ni uwongo mnalishwa na lissu

Huyo lissu ndio alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili kuwatetea bungeni waibe madini yetu

No...musimuuzoe kesi..lissu alikuwa anaoopoose ssytemic wizi.wa madini agaist organised wizi wa madini....thats all i know for now
 
Mchungaji Kwa unyenyekevu mkubwa anakubaliana na Raisi Lissu
 
Ningekuwa ningejidamkia pale saa 12 asbh...lah!!
 
Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam

Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu was Dayosisi ya Pwani amuombee wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri

Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli
 
Back
Top Bottom