Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu wa Dayosisi ya Pwani amuombee kabla kwenda kwa kwa kardinali Pengo wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri
Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli anyway kama Askofu Malasusa hakuweko kwenye hiyo ibada Lisu imekula kwake Askofu Malasusa hakuwepo aliyemuweka Magufuli madarakani kwa niaba ya walutheri wa Dar