johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.
Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza
Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya ajabu hadi hospital na kumuwahisha Tundu Antipas Lissu kabla damu haijaisha mwilini
LAKINI Ebrahim Rais aliachwa msituni huku helicopter za kumlinda zikifanikiwa kuukwepa ukungu
Acheni Mungu wa mbinguni aitwe Mungu
Mlale Unono 😀😀