Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Hata wewe utalifata jiweAlikudanganya Nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe utalifata jiweAlikudanganya Nani ?
Mimi nina ushahidi kuwa Magufuli ndiye alimtuma Makonda na kikundi chake cha wasiojulikana kumshambulia Tundu LissuKwani siku ya mwisho imeshafika na amehukumiwa tayari. Usiongelee ya mwenzako subiri yako. Nani mwenye ushahidi kwamba JPM alihusika. Usihukumu bila ushahidi
Ninasikia anabangua korosho kwa meno huko Mtwara.Vipi Mwendazake mna habari zozote huko aliko?
Acheni ujinga wa kumpa Mungu kazi ambazo siyo zake. Mnajificha kwenye kichaka cha mapenzi ya Mungu.Acheni kujitungia hadithi; Kufa au kuishi kwa mtu ni mapenzi ya Mungu na ndiye hupanga wakati gani amchukue.
Kuna watoto wanazaliwa na kuishi siku au miezi au pengine miaka michache na kufa hata hawajafika umri wa kumkosea Mungu
Lakini pia Mbona Yesu naye aliuawa tena kwa mateso Msalabani; unataka kutuambia na yeye alikuwa muovu?
Mungu fundi.Kuwaacha wamuone akiwa hai ni kipigo cha kwanza.Kitakachofuata tusubiri.
Hata wewe utalifata jiwe
Hata Mimi nilisikia walizika mgomba , mwenyewe yuko Mtwara vichakani na ulimwi umekatwaNinasikia anabangua korosho kwa meno huko Mtwara.
Okay, basi huenda na yaliyowatokea hao wengine ni mipango ya ukombozi kwa wengine.Ilipaswa apitie yale ili tukombolewe
Hilo halipingiki mkuu, just know that everything happens for a reason.Okay, basi huenda na yaliyowatokea hao wengine ni mipango ya ukombozi kwa wengine.
Nadhani mtoa mada hajalifahamu hili?Hilo halipingiki mkuu, just know that everything happens for a reason.