Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.

Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza

Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya ajabu hadi hospital na kumuwahisha Tundu Antipas Lissu kabla damu haijaisha mwilini

LAKINI Ebrahim Rais aliachwa msituni huku helicopter za kumlinda zikifanikiwa kuukwepa ukungu

Acheni Mungu wa mbinguni aitwe Mungu

Mlale Unono 😀😀
 
Rest in Hell Jiwe aka Rais wa wanyonge wajinga na wapumbavu...alitaka kumkill Mh Lissu Mwisho wasiku Sir God akamnyonga yeye.
 
Iran ndiyo mfadhili mkubwa wa vikundi vyote vya kigaidi duniani vinavyotumia mwavuli wa jihad. Maelfu ya watu wasio na hatia pote duniani wamepoteza maisha kwa ufadhili huu wa kishetani wa Iran 🇮🇷. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
WAtesi wa Lissu ni akina nani?
Wanajisikiaje wakiona anatembea?
Nani aliwalipa?
Kama Mungu yupo kwanin asifanye jambo dhidi yao?
 
Kun
kuna Mungu wa Israel tena?? Wenzetu kila kona mna Mungu
 
Mungu wa Israel, Mungu wa isaka na Mungu wa Yakobo ndie Mungu apaswaye kuabudiwa duniani kote.
 
Unatoa dhihaka kwà Rais wa Iran unasahau kwamba Lissu kuna siku tena atakufa hujui atafia wapi?Makolongoni ama kitandani tuache dhihaka wabongo hekima itawale wakati wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…