Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

Wazungu wamekiri COVID 19 ilikuwa ni Sanaa tu na kwamba waliochanjwa wategemee mabadiliko ya Tabia Mwili 🐼
sanaa ambayo imeondoka na mamilioni ya watu.ila wewe ndio nyie mngezaliwa kipindi teknolojia zinaelezwa kabla ya kutenda mngepinga sana
 
dhambi humfuata mtu
 
Kwani siku ya mwisho imeshafika na amehukumiwa tayari. Usiongelee ya mwenzako subiri yako. Nani mwenye ushahidi kwamba JPM alihusika. Usihukumu bila ushahidi
Kama una uchungu naye nenda kamuopoe kwenye moto wa Jehannam
 
Kwangu mm wakati wote naamini Lissu ni Mpotoshaji wa Mambo tusimwamini
 
Na kweli magufuli bila kufa mafisadi, wala rushwa, wavivu, vyeti feki, wauza ngada mngemalizwa
Nyoko wewe .... tunajenga mirandi na hera za ndani? Paah kifo kikamuumbua mikopo ya ilikuwa zaidi kipato cha ndani...wenye vyeti feki mbona Makonda aka Bashite aliumbuliwa na Gwajima Mbunge kwa sasa Kawe aliepitishwa na Jiwe ...kawani hakumfukuza kazi kama kweli Magufuli wenu alikuwa na pambana na wa vyeti feki??? Acha kutumia makende kufikilia ,Jiwe alikuwa jizi, jambazi ,muuaji na kupenda kusifia kwa nguvu kama ma dictators wote.kama hujanielewa baki na mavi yako nyumbani...swine
 
Acheni kujitungia hadithi; Kufa au kuishi kwa mtu ni mapenzi ya Mungu na ndiye hupanga wakati gani amchukue.
Kuna watoto wanazaliwa na kuishi siku au miezi au pengine miaka michache na kufa hata hawajafika umri wa kumkosea Mungu
Lakini pia Mbona Yesu naye aliuawa tena kwa mateso Msalabani; unataka kutuambia na yeye alikuwa muovu?
 
Kweli aisee..
 
Watasema alah akbaru, alah anadundwa na jehova
 

Atakuzwe mungu yupi huyo wa Israeli? Au huyo mnayosema alizaliwa akatawazishwa mavi ??
 
Hakuna mtenda wema zaidi ya Yesu, lakini aliishia kudhalilishwa, kukebehiwa, kusulubiwa na kuuliwa kifo cha laana. Jifunze kuwa kazi ya Mungu haitafsiriwi na akili ya kibinadamu.
Asubuhi njema.
Ilipaswa apitie yale ili tukombolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…