Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

Kwani siku ya mwisho imeshafika na amehukumiwa tayari. Usiongelee ya mwenzako subiri yako. Nani mwenye ushahidi kwamba JPM alihusika. Usihukumu bila ushahidi
Mimi nina ushahidi kuwa Magufuli ndiye alimtuma Makonda na kikundi chake cha wasiojulikana kumshambulia Tundu Lissu
 
Acheni ujinga wa kumpa Mungu kazi ambazo siyo zake. Mnajificha kwenye kichaka cha mapenzi ya Mungu.
Mungu mnampa majukumu mengi hata ya uzembe wenu. Magufuli kaambiwa kuna COVID19 vaa barakoa, keep distance ikibidi pata chanjo. Yeye akapuuza, Corona ikamuondoa, bado unasema ni mipango ya Mungu??

Unaona treni inakuja, wewe huipishi kwa kuwa kama siku yako huwezi kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…