Utoto huoShahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu anapatikana ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Shahidi wangu wa 4 anaitwa Inspector General of Police (IGP), Camillus Wambura. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 5 anaitwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai. Huyu anapatikana ofisi ya makao ya polisi Dodoma.
Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
Shahidi wangu wa 7 anaitwa Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 8 anaitwa Agather Atuhaire. Huyu yupo Kampala, Uganda. Yule aliyetekwa nyara na kuteswa na kwenda kutupwa mpakani.
Shahidi wangu wa 9 ni Boniface Mwangi. Huyu yupo Nairobi, Kenya. Huyu alitekwa nyara, akateswa na kwenda kutupwa mpakani Horohoro.
Shahidi wangu 10 atakuwa John Marwa. Huyu ni Mkurugenzi wa Jambo TV.
Shahidi wangu wa 11 atakuwa Amani Sam Golugwa. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Huyu anajua mkutano huo uliitishwaje.
Shahidi wangu wa 12 ni John Wegesa Heche. Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Anajua nilikuwa wapi kipindi hicho.
Shahidi wangu wa 13 atakuwa John John Mnyika. Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ofisi yake ni Makao Mkuu ya CHADEMA.
Shahidi wangu wa 14 atakuwa Dr. Willy Munyoki Mutunga anapatikana Nairobi, Kenya.
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Tundu A.M Lissu,
Mahakama Kuu ya Tanzania
Masjala ndogo ya Dar es Salaam
View attachment 3477384
Unatoa ushauri wa Sheria umejificha na ID fake tena heti wa kumkosoa Lissu kua serious hii kesi ilatakiwa kua imeisha zamani sana na Lissu kua huruAcha uandazi wewe pimbi aliyekuambia lissu ndio Si unit ya sheria nchini ni nani?
We tulia, tunaojua na tuliofuatilia kesi tunamuelewa sana Lissu.Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu anapatikana ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Shahidi wangu wa 4 anaitwa Inspector General of Police (IGP), Camillus Wambura. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 5 anaitwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai. Huyu anapatikana ofisi ya makao ya polisi Dodoma.
Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
Shahidi wangu wa 7 anaitwa Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 8 anaitwa Agather Atuhaire. Huyu yupo Kampala, Uganda. Yule aliyetekwa nyara na kuteswa na kwenda kutupwa mpakani.
Shahidi wangu wa 9 ni Boniface Mwangi. Huyu yupo Nairobi, Kenya. Huyu alitekwa nyara, akateswa na kwenda kutupwa mpakani Horohoro.
Shahidi wangu 10 atakuwa John Marwa. Huyu ni Mkurugenzi wa Jambo TV.
Shahidi wangu wa 11 atakuwa Amani Sam Golugwa. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Huyu anajua mkutano huo uliitishwaje.
Shahidi wangu wa 12 ni John Wegesa Heche. Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Anajua nilikuwa wapi kipindi hicho.
Shahidi wangu wa 13 atakuwa John John Mnyika. Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ofisi yake ni Makao Mkuu ya CHADEMA.
Shahidi wangu wa 14 atakuwa Dr. Willy Munyoki Mutunga anapatikana Nairobi, Kenya.
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Tundu A.M Lissu,
Mahakama Kuu ya Tanzania
Masjala ndogo ya Dar es Salaam
View attachment 3477384
Mbona unatoa milio kutoka kila tundu la mwili wako? Relax !!!Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Hujanielewa unaandika uharo unaofikiria kichwani. Nchi yetu inatumia mfumo wa adversarial system ambapo upande uliomwita shahidi hutakiwi kum cross examine shahidi wake zaidi ni examination in chief. Hivyo mawakili wa serikali ndio watakao wa cross examine hivyo watakuwa na nafisi nzuri zaidi ku prove kesi yao
Kumbuka mashahidi wengi aliowataja Wana immunity na sio compellable . Hapo analijua hilo ila anafurahisha jukwaa tuu.Acha waje waseme uongo au ukweli ijulikane, kama wao ndo walitaka kupinduliwa.
Kumbuka mashahidi wengi aliowataja Wana immunity na sio compellable . Hapo analijua hilo ila anafurahisha jukwaa tuu.
Nadhani wewe ndio unaleta utaniHuyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Kumekucha!!Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu anapatikana ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Shahidi wangu wa 4 anaitwa Inspector General of Police (IGP), Camillus Wambura. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 5 anaitwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai. Huyu anapatikana ofisi ya makao ya polisi Dodoma.
Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
Shahidi wangu wa 7 anaitwa Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 8 anaitwa Agather Atuhaire. Huyu yupo Kampala, Uganda. Yule aliyetekwa nyara na kuteswa na kwenda kutupwa mpakani.
Shahidi wangu wa 9 ni Boniface Mwangi. Huyu yupo Nairobi, Kenya. Huyu alitekwa nyara, akateswa na kwenda kutupwa mpakani Horohoro.
Shahidi wangu 10 atakuwa John Marwa. Huyu ni Mkurugenzi wa Jambo TV.
Shahidi wangu wa 11 atakuwa Amani Sam Golugwa. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Huyu anajua mkutano huo uliitishwaje.
Shahidi wangu wa 12 ni John Wegesa Heche. Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Anajua nilikuwa wapi kipindi hicho.
Shahidi wangu wa 13 atakuwa John John Mnyika. Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ofisi yake ni Makao Mkuu ya CHADEMA.
Shahidi wangu wa 14 atakuwa Dr. Willy Munyoki Mutunga anapatikana Nairobi, Kenya.
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Tundu A.M Lissu,
Mahakama Kuu ya Tanzania
Masjala ndogo ya Dar es Salaam
View attachment 3477384
🙄Elezea kwa ukali sisi tuliokimbia shule tukuelewe
Naomba kuelimishwa juu ya hili. Hivi ukitajwa kuwa ni shahidi wa mtu fulani je ni lazima ukubali?Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu anapatikana ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Shahidi wangu wa 4 anaitwa Inspector General of Police (IGP), Camillus Wambura. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 5 anaitwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai. Huyu anapatikana ofisi ya makao ya polisi Dodoma.
Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
Shahidi wangu wa 7 anaitwa Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 8 anaitwa Agather Atuhaire. Huyu yupo Kampala, Uganda. Yule aliyetekwa nyara na kuteswa na kwenda kutupwa mpakani.
Shahidi wangu wa 9 ni Boniface Mwangi. Huyu yupo Nairobi, Kenya. Huyu alitekwa nyara, akateswa na kwenda kutupwa mpakani Horohoro.
Shahidi wangu 10 atakuwa John Marwa. Huyu ni Mkurugenzi wa Jambo TV.
Shahidi wangu wa 11 atakuwa Amani Sam Golugwa. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Huyu anajua mkutano huo uliitishwaje.
Shahidi wangu wa 12 ni John Wegesa Heche. Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Anajua nilikuwa wapi kipindi hicho.
Shahidi wangu wa 13 atakuwa John John Mnyika. Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ofisi yake ni Makao Mkuu ya CHADEMA.
Shahidi wangu wa 14 atakuwa Dr. Willy Munyoki Mutunga anapatikana Nairobi, Kenya.
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Tundu A.M Lissu,
Mahakama Kuu ya Tanzania
Masjala ndogo ya Dar es Salaam
View attachment 3477384
Tuunganishe nukta muda huu au tusubiri kwanza?Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
BWM: Mwl Nyerere amefariki kwa UkosefuRef kesi ya mch Mtikila vs jamhuri shahidi alikuwa Ben Mkapa
je alipanda kizimbani?
jibu ni NO.
KESI IKAISHA!