GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tulia wewe, mamako lazima afike mahakani hii ni kesi ya UHAINI ambayo hukumu yake ni KIFO, SI kesi ya wizi wa kuku bandani.
 
Kumbuka mashahidi wengi aliowataja Wana immunity na sio compellable . Hapo analijua hilo ila anafurahisha jukwaa tuu.
Mahakama Ya Rufaa Ilishafuta Hizo Immunity Kwa Raisi,vp ,pm Na Hata As, Tena Ni Mwaka Huu Huu,ww Upo Dunia Ya Wap,unaandika Tu Bila Kufuatilia Taarifa,,
 
Kesi itaahirishwa mpaka wamalize kamoeni na uchaguzi ndio wataweza kufika mbele ya mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…