PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki.
Kwa hiyo mbowe anadhamini kundi linalopinga ajenda aliyoipitisha yeye mwenyewe? Yani anadhamini kundi linalopinga mafanikio yake? Mi mbona sielewi hapo!
 
Ukweli ni kuwa Uchaguzi wa mwaka huu, upo kwa mujibu wa Katiba. NA UTAFANYIKA LABDA MUNGU PEKEE ASIPENDE.
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.

Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita

Operesheni #NoReforms NoElection

inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.

Mapema wiki hii Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa kuzuia uchaguzi mkuu unaotaka kufanywa na Chama cha Chadema kwani hali hiyo inatafsiriwa na wadau hao kuwa ni sawa na karibu na matendo ya uasi.
View attachment 3294121
Waraka huo ulioandikwa na G55 na kuwakilisha watia nia wengine zaidi ya 200 pamoja na Maafisa wa juu wa Chadema na kushuhudiwa na JamboTv, umesema kuwa Wadau wengi wanaunga mkono harakati za kupigania mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, wakisita kujiingiza kwenye kuunga mkono mpango wa kutaka kuzuia uchaguzi kwani pia linaenda kinyume na Katiba na sheria za nchi.
View attachment 3294120
View attachment 3294130
Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.
View attachment 3294110
Catherine Ruge akiwa amevaa Mawigi

Na Hilda Newton Chadema

Mungu fundi sana

Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.

Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂

Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.

Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.

Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.

Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.

Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?

Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?

Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
Mamlaka matamu bhn Tundu Lissu nae anateua nabkutengua siku hizi hahahahahahaaa 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila watu wa CCM wasipompinga Rais inakuwa si sawa..

Kama CHADEMA inaamini katika demokrasia kwa nini haianzi kuionesha ndani ya chama chao. Mfano huyo Hilda amejikita kupinga mawazo tofauti kwa kuwatuhumu watu badala ya kupinga hoja

Kwako ipo sawa hii mkuu
Siyajui ya Hilda lakini huyu Catherine Ruge alikuwa Katibu Mkuu wa Bawacha, anafahamu malengo ya No Reform No Election, na anajua kwamba hili lilipitishwa na Chama yeye akiwa kiongozi wa kitaifa na alishiriki kulipitisha, sasa leo anapolipinga ana maana gani?

Lingine ni hili, unataka kushiriki uchaguzi kwa sheria hizi ili iweje, unataka watekwe watu wangapi au unataka wauawe watu wangapi?

Japo sikutaka atenguliwe, nilitaka aonywe na kuelimishwa
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.

Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita

Operesheni #NoReforms NoElection

inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.

Mapema wiki hii Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa kuzuia uchaguzi mkuu unaotaka kufanywa na Chama cha Chadema kwani hali hiyo inatafsiriwa na wadau hao kuwa ni sawa na karibu na matendo ya uasi.
View attachment 3294121
Waraka huo ulioandikwa na G55 na kuwakilisha watia nia wengine zaidi ya 200 pamoja na Maafisa wa juu wa Chadema na kushuhudiwa na JamboTv, umesema kuwa Wadau wengi wanaunga mkono harakati za kupigania mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, wakisita kujiingiza kwenye kuunga mkono mpango wa kutaka kuzuia uchaguzi kwani pia linaenda kinyume na Katiba na sheria za nchi.
View attachment 3294120
View attachment 3294130
Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.
View attachment 3294110
Catherine Ruge akiwa amevaa Mawigi

Na Hilda Newton Chadema

Mungu fundi sana

Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.

Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂

Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.

Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.

Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.

Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.

Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?

Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?

Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB

Maua kwa Tundu Lissu na Salute juu🫡🫡🫡🫡💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐🌻🌻🌻💐🌻🌻💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.

Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita

Operesheni #NoReforms NoElection

inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.
View attachment 3294138
John Mrema nayedaiwa kuwa Mwasisi wa kutaka kupindua Uongozi wa Tundu Lissu wa Kikundi cha G55. John Alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kwenye Uongozi wa Freeman Mbowe

Mapema wiki hii Watia nia ya Ubunge mwaka 2025 na waliokuwa watia nia mwaka 2020, (G55) wakiongozwa na Vigogo Adv. John Mallya, Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita wamechapisha waraka kwenda kwa Katibu Mkuu Chadema, wakieleza kuwa wadau wengi wa Demokrasia nchini hawaungi mkono Mpango wa kuzuia uchaguzi mkuu unaotaka kufanywa na Chama cha Chadema kwani hali hiyo inatafsiriwa na wadau hao kuwa ni sawa na karibu na matendo ya uasi.
View attachment 3294121
Waraka huo ulioandikwa na G55 na kuwakilisha watia nia wengine zaidi ya 200 pamoja na Maafisa wa juu wa Chadema na kushuhudiwa na JamboTv, umesema kuwa Wadau wengi wanaunga mkono harakati za kupigania mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, wakisita kujiingiza kwenye kuunga mkono mpango wa kutaka kuzuia uchaguzi kwani pia linaenda kinyume na Katiba na sheria za nchi.
View attachment 3294120
View attachment 3294130
Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.

Chini kabisa nitaambatanisha Meseji za WhatsApp za G55 Wanaodaiwa kutaka kupindua uongozi uliopo.
View attachment 3294155
View attachment 3294110
Catherine Ruge akiwa amevaa Mawigi. CPA Catherine Ruge alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA #BAWACHA kipindi cha Uongozi wa Freeman Mbowe. Huyu Ruge na Freeman Mbowe ndo Walimpa Rais Samia Tuzo ya Malidhiano huko Arusha.

Na Hilda Newton Chadema

Mungu fundi sana

Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.

Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂

Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.

Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.

Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.

Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.

Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?

Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?

Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
View attachment 3294167View attachment 3294168View attachment 3294166
Watanzania wenzangu kabla ya yote tujitahidi kuondoa Ujinga na umaskini ndio tutaweza kudeal na demokrasia la sivo hakuna kitakachofanyika.
 
😂😂😂😂😂😂 eti Catherine Ruge akiwa amevaa Wigi 🙌🙌🙌
 
Naona uzi umerejeshwa tena! Kuna muda ulikuwa kama umefutwa vile!! Sijui ni nani anafanya hizi hujuma.

All in all, watu aina ya Tundu Lissu siyo wa kupuuzwa hata kidogo! Watu wa aina yake mara nyingi huwa wanaungwa mpaka na watu wa kwenye mfumo na ambao hawafurahishwi na namna mambo yanavyokwenda ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom