Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tofauti, wote wanajaziba, utofauti wao ni sehemu sehemu, hasa za kiutendaji, uthubutu na ujuzi wa Sheria,Nipe tofauti ya Lisu na Magufuli kwenye kudhibiti kauli zao.
Hakuna tofauti, wote wanajaziba, utofauti wao ni sehemu sehemu, hasa za kiutendaji, uthubutu na ujuzi wa Sheria,
Hata huyu Mungu akimjalia akawa Raisi, kutakuwepo utofauti mdooogo mno na aliyepo, na watu wengi wategemee kuswekwa ndani kama kawaida Kwa sabb zisizo rasimi,
Kwa lipi mkuu?, kwasasa siasa za mihemko na majukwaa hazina mashiko tena, watu wanataka siasa safi zenye tija na zenye matokeo chanya.Lissu atawanyoosha!
Siasa safi ndiyo hiyo ya kugawa rushwa kuwania ubunge? [emoji23][emoji23]watu tunataka hoja na hiyo ndiyo siasa safi sasa Lissu kaweka siasa chafu ipi hapo?Kwa lipi mkuu?, kwasasa siasa za mihemko na majukwaa hazina mashiko tena, watu wanataka siasa safi zenye tija na zenye matokeo chanya.
Ndiyo maana hukuona mtu anahangaika nae siku alivyowasili nchini, hizi siyo zama tena za kumpa mtu kiki au political mileage kibwege bwege!
#watutupokazini
Unaona alivyo articulate katika kusema analolikusudia! He is incredibly great!
Uraisi tena? 😂 Labda baada ya uchaguzi huu, na itategemeaWell and good, ngoja na yeye apewe nchi, ili hawa wanafurahi kutesa wengine hivi sasa nao walimie meno, kisha baada ya hapo itakuwa ngoma draw. Halafu ndio katiba ya wananchi ikae mezani, maana kila mtu atakuwa ameonja tamu na chungu.
Mkuu reli aliyojenga mjerumani mpaka sasa 60 baada ya Uhuru bado tunaitumia,au simple kwako wewe ina maana gani?Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika
Siasa safi ndiyo hiyo ya kugawa rushwa kuwania ubunge? [emoji23][emoji23]watu tunataka hoja na hiyo ndiyo siasa safi sasa Lissu kaweka siasa chafu ipi hapo?
Aisee... kwa kipaji hicho huyu anafaa kabisa kuwa mwandishi wa habari au mwalimu.Within a ten minutes space he gave a full statement.
Sio kosa lako, ccm ndivyo mlivyo lelewa. Nyie ni kununua tu, majuzi tu mumewaburuza minadani baadhi ya wabunge na madiwani wa upinzani kisha mkawadampu kama condom.Lisu ana pesa za wabelgiji wajumbe wa baraza kuu awagawie vinginevyo msisikilize ngonjera zake .Mkono mtupu wa Lisu kataeni kuulamba.Awapeni kabisa cash cash sio kutoa mimacho tu na porojo kuwa ohh naomba kura zenu.
Awape pesa za wazungu na nyie mzifaidi