Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Nipe tofauti ya Lisu na Magufuli kwenye kudhibiti kauli zao.
Hakuna tofauti, wote wanajaziba, utofauti wao ni sehemu sehemu, hasa za kiutendaji, uthubutu na ujuzi wa Sheria,

Hata huyu Mungu akimjalia akawa Raisi, kutakuwepo utofauti mdooogo mno na aliyepo, na watu wengi wategemee kuswekwa ndani kama kawaida Kwa sabb zisizo rasimi,
 
Ahh Lisu noma huyu mtu anajua et kama akija kusema nimejenga miundombinu tutawaambia miundombinu ilijengwa toka mjerumani
 
Hakuna tofauti, wote wanajaziba, utofauti wao ni sehemu sehemu, hasa za kiutendaji, uthubutu na ujuzi wa Sheria,

Hata huyu Mungu akimjalia akawa Raisi, kutakuwepo utofauti mdooogo mno na aliyepo, na watu wengi wategemee kuswekwa ndani kama kawaida Kwa sabb zisizo rasimi,

Well and good, ngoja na yeye apewe nchi, ili hawa wanafurahi kutesa wengine hivi sasa nao walimie meno, kisha baada ya hapo itakuwa ngoma draw. Halafu ndio katiba ya wananchi ikae mezani, maana kila mtu atakuwa ameonja tamu na chungu.
 
Lissu atawanyoosha!
Kwa lipi mkuu?, kwasasa siasa za mihemko na majukwaa hazina mashiko tena, watu wanataka siasa safi zenye tija na zenye matokeo chanya.

Ndiyo maana hukuona mtu anahangaika nae siku alivyowasili nchini, hizi siyo zama tena za kumpa mtu kiki au political mileage kibwege bwege!

#watutupokazini
 
Siasa safi ndiyo hiyo ya kugawa rushwa kuwania ubunge? [emoji23][emoji23]watu tunataka hoja na hiyo ndiyo siasa safi sasa Lissu kaweka siasa chafu ipi hapo?
 
Anahangaika kutafuta attention za media wame ignore .Wanaojua Lisu kaingia nchini Ni wale washinda Twitter , Facebook na mitandaoni!! Magazeti ,TV na Radio wame mu ignore ndio anahangaika kutafuta attention Yao akidhani watachapisha taarifa zake bure!!! Media wanajua kapewa mipesa kibao na wazungu kwa Nini wamtangaze bure? Alipe .Sababu akitangazwa bure atapeleka picha na video. Ulaya kuwa pesa yao ndio imefanya hayo kumbe mwongo

Media huyo mkamueni pesa barabara ana hela za wabelgiji azitemee kwenu
 
Well and good, ngoja na yeye apewe nchi, ili hawa wanafurahi kutesa wengine hivi sasa nao walimie meno, kisha baada ya hapo itakuwa ngoma draw. Halafu ndio katiba ya wananchi ikae mezani, maana kila mtu atakuwa ameonja tamu na chungu.
Uraisi tena? 😂 Labda baada ya uchaguzi huu, na itategemea
 
Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika
Mkuu reli aliyojenga mjerumani mpaka sasa 60 baada ya Uhuru bado tunaitumia,au simple kwako wewe ina maana gani?
 
Watu wengi wapi hao?,halafu huyu mwambieni urais sio makalio kwamba kila mtu lazima awe nayo,akafanye kazi zingine ,anapoteza muda wake tu,
 
Rushwa ni suala pana Sana lipo katika kila nyanja ya maisha yetu ya kila siku na Serikali ya Sasa kwa vitendo imeonesha njia ya kupambana nalo, kuna mifano mingi sana juu ya Hilo. Kama kuna mgombea mbunge katoa rushwa katika kura za maoni iwe CCM au chama kingine chochote kile, basi ataadhibiwa kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu za chama chake lakini pia kuna vyombo mahususi vinavyojishughulisha na masuala haya vitafanya kazi yake, na rushwa ni suala binafsi si la kikundi, chama au taasisi fln.

Tundu Lissu ana seek public sympathy ktk kipindi hiki, amechelewa kwenye shughuli na ki utaratibu ktk shughuli ya ki Serikali ambayo mgeni rasmi anapokuwa rais wa JMT anapokuwa ameshaingia aneo la tukio basi hakuna mtu mwingine anaruhusiwa kuingia, hii ni protocol na nina hakika kbs unatahamu hilo.

Lakini pia, Lissu amerudi nchini na ametia nia ya urais kupitia chama chake, kwahy kwasasa anajitahidi kila namna ili kila jicho la kila mtanzania liwe kwake ili kushinda matakwa yake ya kisiasa, kwa bahati mbaya au nzr vyombo husika vime m outsmart , kwanza kwa kuto deal nae ktk mapokezi yake lkn pia kutoruhusu aharibu msiba. Kwasasa ajipange tu kujibu mashauri yake yanayomkabiri mahakamani ikiwepo kuvunja masharti ya dhamana n.k!
Siasa safi ndiyo hiyo ya kugawa rushwa kuwania ubunge? [emoji23][emoji23]watu tunataka hoja na hiyo ndiyo siasa safi sasa Lissu kaweka siasa chafu ipi hapo?
 
misasa, Anachoweza ni kufoka na kuitukana Serikali hasa Rais.

Kiongoz, kama Lissu, asiyeheshimu mamlaka hakika akipewa mamlaka atawakanyaga waliompa mamlaka. Lissu alivyowatelekeza wapiga kura wake jimboni ni hivyo hivyo akiwa Rais ataitelekeza nchi na kuiuza kwa wanaomfadhiri.
 
Lisu ana pesa za wabelgiji wajumbe wa baraza kuu awagawie vinginevyo msisikilize ngonjera zake .Mkono mtupu wa Lisu kataeni kuulamba.Awapeni kabisa cash cash sio kutoa mimacho tu na porojo kuwa ohh naomba kura zenu.

Awape pesa za wazungu na nyie mzifaidi
 
Sio kosa lako, ccm ndivyo mlivyo lelewa. Nyie ni kununua tu, majuzi tu mumewaburuza minadani baadhi ya wabunge na madiwani wa upinzani kisha mkawadampu kama condom.

Kura zenu za maoni ni aibu tupu eti lazima ufike bei na kila mjumbe, bure kabisa.
 
Back
Top Bottom