Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi


..ama mnapotosha, au hamjipi muda kuelewa hoja za Tundu Lissu.

..Hoja ya Tundu Lissu ni kwamba CDM hawatakuwa MADHALIMU ikiwa watapewa nafasi ya kuongoza.
 
Amefeli kabla hajaanza. Hatuna utamaduni wa siasa anazoziongelea.

Mwisho, namuona km kapanik Sana, nazan sababu alitegemea teshen kubwa tofauti na alichokutana nacho.

Lisu hufai, Kwanza sio muaminifu, ulimsaliti Dr Slaa mbele yakadamnas. Ukamtukana nyerere. Eti leo unajiita mfiwa, laana haitakuacha. Usaliti ni Uhaini
 
Reasoning ya wana Lumumba na wana Ufipa ni ya kutia shaka sana. Yaani hizi pande mbili zimejaa mbatata kila kona.
Umewaona ee. Wakati mwingine nacheka kwa masikitiko. Alafu kila mtu anamuona mwenzie kinyago. Itabidi wanunue kioo wote.

TL naye nilitegemea baada ya kuishi huko mamtoni atakuja na mbinu za kiutu uzima zaidi, kumbe yaleyale makelele tu.

Haya labda tumsikilizie Membe tuone. Maana angalau anaongea kwa mapozi kidogo tuliokwishabalehe inatupa uwezo wa kufuatilia hoja.
 
Mbinu za kwenda na CCM ni hizo hizo unataka wabadilike nini? CCM ni ile ile kubambikiwa kesi ni kulekule ukitaka waje na mbinu mpya ni kuwafungulia kesi CCM kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa kule The Hague hakuna namna ingine.
 
90% watetezi wa CCM mitandaoni hushinda kukesha gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi kukuririshwa ujinga mwingi ndiyo maana utetezi wao kwa Asilia zote unafanana, ukiona mtetezi wa CCM anakuja na matusi ujue katoka kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba usishangae sana.
 
tundu lissu kanifanya nianze kutembelea jammi forum baada ya miaka kuacha kuja hapa. maana siasa za Tanzania bila Tundu lissu zilikuwa zimepooza sana. sasa naona mwanga kwa mbali hata Magufuli akijaribu kuzima hataweza. kwa elimu Tundu lissu anayo towa inawasha moto ambao hauzimiki kwa upepo wa kisulisuli.
 
Tuko pamoja mkuu
 
Kama Mtanzania Umefanya nini katika miaka 60? Unataka nani akujengee? Usilaumu ma Raisi , jilaumu wewe ni Zero brain at work.
Jenga nchi yako
 


Inaelekea hujui ulisemalo
 
Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika
Rasilimali gani?
 
Lisu hana akili timamu
 
Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika

Hata serikali inajenga miundimbinu ili ikusanye kodi yako, hakuna serikali duniani isiyokwapua haipo
 

Ni dhahiri kabisa kwamba pasi na shaka yoyote, kumbe wasioitakia mema nchi hii kwa kujua au kutokujua kwao waliuvua kabisa uswahili na utanzania wao.

Wakawazuia waombolezaji kufika kuhani msiba. Incredible! Bora ya Firauni.

Kumbe hata wale wa mitandaoni, makelele yao yote yale ilikuwa jitihada tu za kuufunika ujinga ujinga wao huo?

Bila shaka hata wale wajumbe wa Kenya walifurushwa!

Hili ni jambo la aibu sana linalostahili kulaaniwa na kukemewa kwa dhati kabisa na watanzania wote na hasa walio wazalendo.

Makamanda mmeifanya sehemu yenu ya wajibu wenu. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…