Kwa hiyo yeye anatakaje kwa mfano, kwamba nchi wapewe kina Lema? Kina Mdee? Kina Mbowe? Na hayo maendeleo ya mabeberu ndio yatayeyuka wakiingia wao? Kwamba wao hawatafanya shughuli za maendeleo? Bora hata angekaa kimya, anajiharibia before hata kipyenga kupulizwa.
..ama mnapotosha, au hamjipi muda kuelewa hoja za Tundu Lissu.
..Hoja ya Tundu Lissu ni kwamba CDM hawatakuwa MADHALIMU ikiwa watapewa nafasi ya kuongoza.