Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Kwa hiyo yeye anatakaje kwa mfano, kwamba nchi wapewe kina Lema? Kina Mdee? Kina Mbowe? Na hayo maendeleo ya mabeberu ndio yatayeyuka wakiingia wao? Kwamba wao hawatafanya shughuli za maendeleo? Bora hata angekaa kimya, anajiharibia before hata kipyenga kupulizwa.

..ama mnapotosha, au hamjipi muda kuelewa hoja za Tundu Lissu.

..Hoja ya Tundu Lissu ni kwamba CDM hawatakuwa MADHALIMU ikiwa watapewa nafasi ya kuongoza.
 
Tundu Lissu baada kutua kwenye aridh ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utaami na uchungu.

Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.

Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais wa Magufuli. Maana ya yake ni kuwa akiwa na agenda ya kujenga miundo mbinu, tutamwambia Wajerumani walianza kujenga miundo awamu ya kwanza walifanya, awamu ya pili, awamu ya tatu na ya nne.

Amesema hayuko huru sana, kwani waliomdhuru bado wanaitwa watu wasiojulikana. Lakini anaamini ni jukumu la vyombo vya usalama kulinda raia wake.
View attachment 1520465
Amefeli kabla hajaanza. Hatuna utamaduni wa siasa anazoziongelea.

Mwisho, namuona km kapanik Sana, nazan sababu alitegemea teshen kubwa tofauti na alichokutana nacho.

Lisu hufai, Kwanza sio muaminifu, ulimsaliti Dr Slaa mbele yakadamnas. Ukamtukana nyerere. Eti leo unajiita mfiwa, laana haitakuacha. Usaliti ni Uhaini
 
Reasoning ya wana Lumumba na wana Ufipa ni ya kutia shaka sana. Yaani hizi pande mbili zimejaa mbatata kila kona.
Umewaona ee. Wakati mwingine nacheka kwa masikitiko. Alafu kila mtu anamuona mwenzie kinyago. Itabidi wanunue kioo wote.

TL naye nilitegemea baada ya kuishi huko mamtoni atakuja na mbinu za kiutu uzima zaidi, kumbe yaleyale makelele tu.

Haya labda tumsikilizie Membe tuone. Maana angalau anaongea kwa mapozi kidogo tuliokwishabalehe inatupa uwezo wa kufuatilia hoja.
 
Mbinu za kwenda na CCM ni hizo hizo unataka wabadilike nini? CCM ni ile ile kubambikiwa kesi ni kulekule ukitaka waje na mbinu mpya ni kuwafungulia kesi CCM kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa kule The Hague hakuna namna ingine.
 
90% watetezi wa CCM mitandaoni hushinda kukesha gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi kukuririshwa ujinga mwingi ndiyo maana utetezi wao kwa Asilia zote unafanana, ukiona mtetezi wa CCM anakuja na matusi ujue katoka kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba usishangae sana.
 
tundu lissu kanifanya nianze kutembelea jammi forum baada ya miaka kuacha kuja hapa. maana siasa za Tanzania bila Tundu lissu zilikuwa zimepooza sana. sasa naona mwanga kwa mbali hata Magufuli akijaribu kuzima hataweza. kwa elimu Tundu lissu anayo towa inawasha moto ambao hauzimiki kwa upepo wa kisulisuli.

Tundu Lissu baada kutua kwenye aridh ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utaami na uchungu.

Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.

Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais wa Magufuli. Maana ya yake ni kuwa akiwa na agenda ya kujenga miundo mbinu, tutamwambia Wajerumani walianza kujenga miundo awamu ya kwanza walifanya, awamu ya pili, awamu ya tatu na ya nne.

Amesema hayuko huru sana, kwani waliomdhuru bado wanaitwa watu wasiojulikana. Lakini anaamini ni jukumu la vyombo vya usalama kulinda raia wake.
View attachment 1520465
 
tundu lissu kanifanya nianze kutembelea jammi forum baada ya miaka kuacha kuja hapa. maana siasa za Tanzania bila Tundu lissu zilikuwa zimepooza sana. sasa naona mwanga kwa mbali hata Magufuli akijaribu kuzima hataweza. kwa elimu Tundu lissu anayo towa inawasha moto ambao hauzimiki kwa upepo wa kisulisuli.
Tuko pamoja mkuu
 
tindo, hawa Lumumba watakusumbua! wana extremely shallow reasoning! Wazungu walikuwepo na tulikuwa less that 10 milliion! Walichokijenga wakati ule kilikidhi mahitaji wa wakati ule! Ndiyo maana mtu wa darasa la ane ana uelewa kuliko University graduate wa sasa! Elimu yao ilikidhi mahitaji wa wakati ule! We are 60 millions, kinachofanywa na hawa wenzetu marais wetu ni chini sana ya uhitaji wetu wa leo! ya digital world!
Kama Mtanzania Umefanya nini katika miaka 60? Unataka nani akujengee? Usilaumu ma Raisi , jilaumu wewe ni Zero brain at work.
Jenga nchi yako
 
Lisu alibebwa na akina Slaa na Lowasa na Mbowe akiachwa ajibebe Ni zero hawezi ndio maana alikuwa shocked kuona vyombo vyote vya habari vi me m ignore ujio wake .Sababu alidhani umaarufu wake Ni self made kumbe Ni made by Chadema as a party kupitia akina Mbowe,Slaa na Lowasa sio self made!!

Kutokana na ujuaji wake hata wenzie ndani ya Chadema wamemtelekezea zigo kusa wewe so unajitia mjanja kuwa you ate self made promote yourself kwenye media leave us as onlookers as you promote yourself!!! Alichokiona Ni life shocker part one Media zika mu ignore tukio ambalo kwake alidhani Ni world record event!!!

Ajiandae tu kisaikolojia . Wenzie akina Nyalandu wako humble kwa Mbowe na Chadema na Hotuba zao zote huonyesha kwanza appreciation kwa Mwenyekiti Mbowe na Chadema yeye speech zake zimeja Mimi, Mimi, Mimi,Mimi so Many Mimis!!!

Mimi kwenye hotuba zake Ni nyingi Hadi zinakera

Inaelekea hujui ulisemalo
 
Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika
Rasilimali gani?
 
Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu.

Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.

Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais wa Magufuli. Maana ya yake ni kuwa akiwa na agenda ya kujenga miundo mbinu, tutamwambia Wajerumani walianza kujenga miundo awamu ya kwanza walifanya, awamu ya pili, awamu ya tatu na ya nne.

Amesema hayuko huru sana, kwani waliomdhuru bado wanaitwa watu wasiojulikana. Lakini anaamini ni jukumu la vyombo vya usalama kulinda raia wake.
View attachment 1520465
Lisu hana akili timamu
 
Wajerumani walijenga simple miundombinu kuraisisha kuiba mali za nchi na kusafirisha kwao ikiwemo madini, wanyama, watumwa, katani, na mazao mengine tofauti ili wakajenge nchi yao. Almost nchi zote za ulaya zimejengwa na Rasilimali za afrika

Hata serikali inajenga miundimbinu ili ikusanye kodi yako, hakuna serikali duniani isiyokwapua haipo
 
Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu.

Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana.

Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais wa Magufuli. Maana ya yake ni kuwa akiwa na agenda ya kujenga miundo mbinu, tutamwambia Wajerumani walianza kujenga miundo awamu ya kwanza walifanya, awamu ya pili, awamu ya tatu na ya nne.

Amesema hayuko huru sana, kwani waliomdhuru bado wanaitwa watu wasiojulikana. Lakini anaamini ni jukumu la vyombo vya usalama kulinda raia wake.
View attachment 1520465

Ni dhahiri kabisa kwamba pasi na shaka yoyote, kumbe wasioitakia mema nchi hii kwa kujua au kutokujua kwao waliuvua kabisa uswahili na utanzania wao.

Wakawazuia waombolezaji kufika kuhani msiba. Incredible! Bora ya Firauni.

Kumbe hata wale wa mitandaoni, makelele yao yote yale ilikuwa jitihada tu za kuufunika ujinga ujinga wao huo?

Bila shaka hata wale wajumbe wa Kenya walifurushwa!

Hili ni jambo la aibu sana linalostahili kulaaniwa na kukemewa kwa dhati kabisa na watanzania wote na hasa walio wazalendo.

Makamanda mmeifanya sehemu yenu ya wajibu wenu. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Back
Top Bottom