Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

mkuu nakuomba sana kama ulisema ndugu katika chadema ebu sema ndani ya ccm na serikari yake utagundua ndugu ukiwapanga mstali mpakani mwa tanzania watazunguka na kufika kuungana mfano cheki nec. boriti la chadema dogo jicho linaweza kuona la ccm limeziba jicho
duu hapo umenikonga moyo. Wapashe hao.
 
huyo ndiye rais aliyeingia kwa kalamu, wizi na ufisadi
 
Mi nafikiri kwenye neno wapole uandike "WAPU.MBA.FU"
Si ajabu hao ni ndugu zake au waliwahi kuwa washikaji zamani Raisi wetu ni zaidi ya umjuavyo yeye kufuata katiba kuendesha nchi kwake ni tusi ,ashukuru watanzania wapole kama kondoo nchi zingine angekiona
 
Lissu na ateue wake; Raisi ameteua kwasababu wanasifa zinazotakiwa hata leo hii Lissu akiteuliwa wapo watu watasema Lissu hana sifa; sasa kama huyu mwanaharakati wenu Lissu na atue jopo lake la majaji.

Mwalimu wako alikuwa na kazi sana, sidhani hata kama unaelewa kinachoendelea hapa
 
Kazi hizi NYETI za KITAALUMA za umma watu waziombe kwa uwazi kabisa. Wafanye inteview kwa uwazi kabisa. Kisha Rais apelekewe majina baada ya hizi interview. Katiba itusaidie kulinda urari wa KIJINSIA tu.
 
mkuu umenena. Tunao viongozi wachache kama Lissu hapa TZ wanaoweza kusimama na kutetea haki kama anavyofanya huyu ndugu. Wabunge wetu wengi ni bendera fuata upepo' hata hawajui kilichowapeleka bungeni.

Big up sinakitufe cha like tu na gallaxy.
 
Hongera kaka LISSU.
Bora UFE LEO kwa kusema UKWELI kuliko KUISHI MILELE kwa KUWA UNAFIKI.
Kuna VIMEO vingi sana serikalini, vingine vinaitwa Dokta but ni darasa la saba tu.
Huwezi ukatarajia kupata matunda mazuri katika mti usiokuwa na RUTUBA.
WENGI WA WATENDAJI WA SERIKALI YETU HAWANA KITU VICHWANI MWAO.
 
Sasa naanza kuelewa maneno ya JK aliposema ni kheri Slaa awe raisi kuliko Lissu kuwa mbunge
TL ni kifaa kingine big up kwa kutufumbua macho
 
Huu ni udhaifu ambao sisi kama watanzania hatupaswi kuu vumilia.
Haya ndio matokeo ya kuwa na majaji wanao fanya kazizao kwakufuata
maagizo ya walio waweka madarakani au kwaajili ya kukidhi matakwa ya mtu fulani na
wala sio namna ambavyo sheria inaelekeza!!
 
zako umezificha lakini akili yako pungufu; Lissu ni mwanaharakati chochote atakachokisema raisi yeye kazi yake ni kupinga; uteuzi wowote unafanywa baada ya uchambuzi yakinifu; sasa yeye kama haridhiki na ateue majaji wake kaa na ujinga wa kuamini kila analosema Lissu

Sidhani kama huyu anaelewa tunacho jadili hapa!
 
Alaaa! kumbe "sifa maalum" siyo shahada ya sheria tu peke yake. Sasa nimeelewa zaidi.

Inawezekana wakati huo hapakuepo na wataalamu wa sheria wa kutosha wenye hizo sifa. Kwa miaka hii hakuna sababu ya kuwepo kifungu hicho na ni aibu kwa Rais kuteua watu wasio na sifa!
 
rais analaumiwa na baadhi ya wanajf pamoja na mh, Tundu Lissu. wanajf wale mnaoamini rais amekosea. na mmetoa michango yenu humu baadhi yenu pia mnakosea, kwani suala hili, iwe kuna makosa au hakuna makosa yaliyofanywa na rais, si sifa tena za kisiasa kwa chama fulani ni Tanzania kwanza, wengi wanadharau mawazo ambayo ndani yake kunaharufu ya uchamachama matokeo yake issue inakosa mashiko. kwa suala hili mimi binafsi linaniachia maswali mengi saana na najiuliza hivi hii nchi yetu kweli ina wanazuoni. kweli ina wasomi wenye uchungu na nchi yao. kweli kuna vitivo vya sheria kwenye vyuo vyetu , kwanini Mungu amewafanya hivi wasomi wetu hawa;hawaoni kama rais hana makosa/anamakosa, hawaoni sababu ya kumfokea/ kumuunga mkono lissu? . kuna sababu gani ya kuwa na baadhi ya hawa kwenye taifa, jaji Agustino Ramadhani, jaji Joseph Warioba, prof Ibrahim Lipumba, prof Safari, dr Lwaitama,dr Bana, dr MKumbo, dr Lamwai, MH Mabere Marando, na wengine wengi wenye majina na wasio na majina, vilevile TISS mko wapi? na maneno makali dhidi yenu nadhani mmeelewa nini? maana yangu mko hatua nyingi nyuma jamii yetu sasa si ile iko njema badilikeni, mnawafanya wananchi wawe na maswali mengi juu ya mustakabali wa taifa lao.
 
Ritz,Rejao,Le Mutuz na mabosi wenu Nape na WEKA MBALI NA TEMBO(Kinana) mnacha kujibu?Baba Mwanaasha tuliambiwa bungeni na Mh Mnyika kuwa ni DHAIFU nani anabisha?kama ni kuletewa majina ni njia zipi anazitumia kujirisha kile alicholetewa kiko sahihi?au ni bora liende?HOPELESS MOVING FIGURE Serikali ya CCM.
kamanda Lisu komaa nayo hii issue mm nitakuunga mkono mpaka kieleweke,wadau wapo watakuunga mkono.
 
Kwani hata yule waziri, aliyesema Pemba, Zimbabwe na Tanganyika ziliungana mwaka11964 kuunda Tanzania, aliteuliwa na JK?
 
images
images

Ukiaka kuonja raha ya siasa za vyama vingi ndo hii

Tundu Lisu kamwaga radhi hadharani, sasa tunasubiri Mkulu utetezi wake, au yule vuvuzela wake wa habari Silva Rweye atainuka kusema ni uzabizabina.
 
If only CHADEMA was consistently forceful , in this detailed fashion, on the matter of Swiss bank accounts.
 
Sifa za kuwa jaji ni zipi???
hata karani wa mahakama anaweza kuwa jaji.
 
Back
Top Bottom