Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Nisha kublock kwa kuwa una mambo ya kitoto zaidi

In God we trust
Hujaanza wewe kublock watu wanaoonesha kukushinda HOJA. Jibu swali hii ya chadema umeitoa wapi?ipi fake kati ya hizi mbili?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Yapo 10 mkuu siyo 1 kama ilivuoripotiwa. Kufa tu hamna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Nadhani wewe ndiye mjinga unahesabu hata vitu visivyo mbwembwe kuwa mbwembwe. Na haujui JKT Oljoro wana basi kwa shughuli za JKT na CDM wana basi kwa shughuli za chama. Kama haulijui hilo, huo nao si ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi wa adui CCM hatuupokei

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sio mahakaman, swala inatakiwa mthibitishe taarifa zenu.Au hizi taarifa hamkujiandaa kuzifafanua?Tufanye hiyo gari ni sahihi,je mmeitoa wapi hiyo Habari?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Nadhani wewe ndiye mjinga unahesabu hata vitu visivyo mbwembwe kuwa mbwembwe. Na haujui JKT Oljoro wana basi kwa shughuli za JKT na CDM wana basi kwa shughuli za chama. Kama haulijui hilo, huo nao si ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu afadhali umempatia elimu labda atajirudi

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…