Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Uvccm jana wameweka wazi kuwa ndani ya ccm hakuna aliye msafi
Nayo ni level pia - umia polepole lkn dawa inaingia - CCM ya JPM si ile uliyozoea - Tanzania ya viwanda

In God we trust
 
Kwanini mkuu?
Siasa zote za dunia na Ulaya zinafanyikia Brussels ubelgiji!.. Ukitaka jua wanafiki wako, wapendwa wako, mitizamo ya wenzio kalete umbeya ubelgiji utaijua!..
Wiki juzi mpaka marekani na Uingereza wakaweka tahadhari kwamba China na Russia wana maspy wengi sana Brussels so wanachama wawe napo makini kuishi!.
 
Karibuni sana mkuu maana elimu haina mwisho tunaona nawe umeipata elimu yetu ya kujitambua
Wanachadema mnanikosha sana na mambo yenu pamoja na kunyanyaswa na serikali lakini mnaenda slowly but sure. Naombeni kujiunga na chama chenu jamani 2020 kura yangu na mkewangu nawapa chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Kamalizaneni na lowasa kwanza ndio mje kuchonga huku

In God we trust
We taaira kweli..kwaiyo kila anayewakosoa ni Lowassa? We unaona ni sawa kwa watu wazima kupost shuzi kama iyo....kama ni habari njema weka picha za ukweli ...photoshoot! What for?
 
Wewe kamalize kwanza migogoro yenu uvccm maana tamko lenu la jana linakivua nguo chama kizima kwamba hakuna aliye msafi ndani ya ccm
In God we trust
 
Tundu A. Lisu alipoulizwa swali na Maria Sarungi kuwa iwapo atapata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania, atajitofautisha vipi na Rais Magufuli? Alisema anataka Tanzania ambayo inaongozwa kwa kufuata Katiba na Sheria, Tanzania ambayo watu wanaheshimiwa na kushirikishwa katika maamuzi ya utendaji wa serikali. Anataka kuingoza serikali ambayo Wananchi ndiyo chimbuko la kweli la madaraka yake. Siyo nchi inayoongozwa kwa mitulinga kama ilivyo sasa. Hivyo basi, akaendelea Lisu, moja ya masuala ya msingi atakayosimamia Ni Katiba ya Wananchi iliyojengwa katika msingi wa rasimu ya Katiba ya Warioba.
Naweza kujivuna kuwa na Lisu Kama kiongozi wa juu wa nchi yangu maana hawa waliopo kwangu ni fedheha.
 
Na nyie mbona hamtulii kutwa kutubambikizia kesi na kutuzuia tusifanye mikutano mnaogopa nini?
hakuna mtu anabambikiwa kesi nyie wahuni lazima mkae ndani tuu hivi kama huyo kiongozi wenu anafanya uhuni hazarani huku anakesi kwanini asinyimwe zamana uhuni tu huo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…