Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Nasikuia Tundu Lisu atapanda hilo bus hadi Vatican kupata chakula cha jioni na Papa Francis.

Ngoja utasikia vizur siku baba ako akianza kulia mjengoni na kuwatuma watu wake wafanye kazi ya kumzima lissu mana hii tu amebadili safu ya washambuliaji mbele ila mi nasubir mkulu 2020 jukwaani nimshangilie zile push up za kubana mawowowo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Dah...bonge la bus, scania na sio hizi tecno zetu zinazolipuka kila siku barabarani.

Sasa ataliendeshaje hadi bongo? Atakuja nalo?? Nimekumbuka dereva wake yuko hukohuko, sio inshu atakuja nalo.
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Picha ya photoshop, ukitaka kujua izoom kwenye hiyo nembo ubavuni pia hayo maneno yazoom karibu. Utaona mapungufu mengi.
Kwa wanaojiita wataalam wa graphics, mmejifunza graphics kwenye simu za tochi kama mnaona hii ni OG.
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Sabodo alikua anawapa milioni mia na kitu za kukiimarisha chama mkazigeuza kwa matumzi binafsi,tusishangae na hili basi
 
Picha ya photoshop, ukitaka kujua izoom kwenye hiyo nembo ubavuni. Utaona mapungufu mengi.
Kwa wanaojiita wataalam wa graphics, mmejifunza graphics kwenye simu za tochi kama mnaona hii ni OG.
Tatizo mnadhania nyinyi ndiyo wajuzi wa kila kitu hapa ni JF kuna wataalam wa kila fani

In God we trust
 
Mjiandae kulipa 110billion za konoike
Sabodo alikua anawapa milioni mia na kitu za kuimakisha chama mkaziguza kwa matumzi binafsi,tusishangae na hili basi

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom