kwembe87
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 741
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikuia Tundu Lisu atapanda hilo bus hadi Vatican kupata chakula cha jioni na Papa Francis.
Dah...bonge la bus, scania na sio hizi tecno zetu zinazolipuka kila siku barabarani.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Picha ya photoshop, ukitaka kujua izoom kwenye hiyo nembo ubavuni pia hayo maneno yazoom karibu. Utaona mapungufu mengi.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Sabodo alikua anawapa milioni mia na kitu za kukiimarisha chama mkazigeuza kwa matumzi binafsi,tusishangae na hili basiKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Tatizo mnadhania nyinyi ndiyo wajuzi wa kila kitu hapa ni JF kuna wataalam wa kila faniPicha ya photoshop, ukitaka kujua izoom kwenye hiyo nembo ubavuni. Utaona mapungufu mengi.
Kwa wanaojiita wataalam wa graphics, mmejifunza graphics kwenye simu za tochi kama mnaona hii ni OG.
Ujumbe upi nilioupata Mmawia, wakati 'sera mbadala' sizijui!Tayari wewe ushapata huo ujumbe anza kuueneza sasa maana wakati ni huu
In God we trust
Sawa ila mimi ndio nakwambia hiyo ni photoshop.Tatizo mnadhania nyinyi ndiyo wajuzi wa kila kitu hapa ni JF kuna wataalam wa kila fani
In God we trust
Fyuuuuuuuuu kyaka kya ngendeWatanzania gani hao - ngoja kwanza lifike afu tulikaguwe iwapo linafaa kwa matumizi ya binadamu - lisipofaa lizeekee bandarini
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Sasa kimekuuma nini jombaa? Si wanajulishwa wanachama wa CDM? Wewe unawashwaje??Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.