Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Azurure nalo huko ulaya lakini ardhi ya Tanzania hakilanyagi ng'o!! labda kama wana bandari yao
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Mbona ni photo shop tu hakuna kitu hicho. Cdm mko desperate sana mumeishiwa kabisa. Basi ubeljiji la chadema hata kama ni kweli litafanya nini. Labda alilete singida kubeba abiria.
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa kumpa haki yake huyo msomi wa lumumba
="MISULI, post: 30717414, member: 199675"]We unajiona una AKILI?Wenye akili wote wamedoubt hiyo picha ila wapuuzi wote wamekata mauono mushangilia. Soma signature yangu hapo chini.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
the stupid ones are full of confidence like you! Kama unadhani kuwa una akili kuliko wengi wetu humu unajidanganya kwani wenye akili hawabishanagi sana wala hawamezwi na
Itikadi bali ukweli na uwazi! Buku saba wahed![/QUOTE]

In God we trust
 
Hakuna mwenye uwezo huo
Hawana haja ya kuichukua, watakachofanya ni kuinyima "registration" tu, kuonyesha kwamba wao ndiyo wameishika serikali.

In God we trust
 
Alifanya hivyo naomba tafadhali uni tag
Hapo kwenye mikataba ya kuuza nchi. Naomba uniambie mikataba hiyo.. na akina. Nani wanahusika.. maana nimekuwa nikisikia mashtaka mengi sana kuhusu lisu lakin hakuna ushahid.. kama utakuwa nao pls nitumie.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom