Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Bebelu wametoa basi kwa kazi gani?
😂😂😂😂mabebelu wametoa uxafili kwa kaxi 1 ya kukijenga xhama mkuu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bebelu wametoa basi kwa kazi gani?
Mkuu habari ya KONOIKE haiondoi ukweli kwamba umechukua picha Google, ukabandika chata kwenye computer yako ukaleta Uzi hapa eti Lissu kazawadiwa na NYUMBU wenzako wakakata mauno.Tangu mchana umekomalia huu uongo.Inaonyesha una akili za kitoto sana, tumekuwekewa mpaka picha Original bado unatetea huu UPUMBAVU.Usisahau kunahitajiwa kulipwa 110billion za konoike
In God we trust
Mkuu habari ya KONOIKE haiondoi ukweli kwamba umechukua picha Google, ukabandika chata kwenye computer yako ukaleta Uzi hapa eti Lissu kazawadiwa na NYUMBU wenzako wakakata mauno.Tangu mchana umekomalia huu uongo.Inaonyesha una akili za kitoto sana, tumekuwekewa mpaka picha Original bado unatetea huu UPUMBAVU.
Mkuu habari ya KONOIKE haiondoi ukweli kwamba umechukua picha Google, ukabandika chata kwenye computer yako ukaleta Uzi hapa eti Lissu kazawadiwa na NYUMBU wenzako wakakata mauno.Tangu mchana umekomalia huu uongo.Inaonyesha una akili za kitoto sana, tumekuwekewa mpaka picha Original bado unatetea huu UPUMBAVU.
Wanaweza wakasinhiziwa kesi ya madawa ya kulevyaWatalingua sna likiwa rd mara overspeed mara taa za breki zinawaka bluu
Sent using Jamii Forums mobile app
....Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
Kwahiyo unaamini mmepata basi kutoka Google!????... Kweli wewe ni wa kuhurumia, nilikuwa najua upeo wako ni mdogo na Leo kwa kuleta basi kutoka Google eti Lissu kazawadiwa ndo nimeamini nilikuwa sahihi. Na gazeti lenu la Tanzania Daima wanaweza wakaandika hii habari ukurasa wa mbele wa gazeti.Kweli mmeishiwa.Wewe ndiyo utakuwa ni kiongozi wa wapumbavu wenzako wa lumumba kama unaona vibaya kupata kwa jirani yako sheitwani mkubwa wewe
In God we trust
Whatever the caseAlipewa zawadi baada ya kujibu lile swali linakuhusu ushoga vizuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
wambieni lumumba diaspora Ubeljij imetunuku basi Chadema.Wambieni lumumba basi nj la kampeni mgombea urais wa upinzani.Wambieni lumumba pata shika 202o dunia itatikisika.
Maskini akipata ni tabu sana - ukitaka kujua tabia za maskini mpe fedha - CCM vitu walishavizoea kitambo sana
Lofa kweli kweli wewe.
Kwahiyo unaamini mmepata basi kutoka Google!????... Kweli wewe ni wa kuhurumia, nilikuwa najua upeo wako ni mdogo na Leo kwa kuleta basi kutoka Google eti Lissu kazawadiwa ndo nimeamini nilikuwa sahihi. Na gazeti lenu la Tanzania Daima wanaweza wakaandika hii habari ukurasa wa mbele wa gazeti.Kweli mmeishiwa.