Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini utamfuata Lowassa ulipo tupo?Utaelewa tu mdogo mdogo
In God we trust
Uko sahihi mkuu,hata huyo mleta mada kajitahid sana kunizuia nisitoe elimu juu ya hizo picha ili ateke akili za WAPUMBAVU humu ndani.Ukitaka kuwatawala watu milele tena bila usumbufu wa aina yoyote, basi wajaze ujinga badala ya maarifa. Wataishia kuwa misukule tu na utawafanya lolote utakalo. Na hii huwa ndio kazi ya propaganda, Ni kuwajaza watu ujinga ili watawalike kwa urahisi.
Nangoja umfuate mamvi muda si mrefu.Wewe mfuate pamoja na mitusi uliyo mtukana mzee wa watu
In God we trust
Naomba link nikajionee mwenyeweMkuu hilo basi limetolewa Google likapitishwa Photoshop mkapigwa Fix humu, hakuna kitu Kama hiki.
Lisu azawadiwa Meli mpya, Lisu akabidhiwa treni, Lisu ateuliwa kuwa makamu wa raisi Ubelgiji....Lisu, Lisu....
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona roho inakutoka wakati hata basi lenyewe ni hewa tu, roho mbaya utaijua tu.mtu atuchafulie nchi atusababishie uhusiano mbovu na donors wetu harafu atuletee siasa hizi wakati huu tuna spidi ya maendeleo ambayo haiwezi kuzuilika hata kidogo labda likamsaidie Odinga huko kenya au aligawe kwa mpinzani wa Bouteflika huko Algeria. ....View attachment 1044274
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, yale magongo keshayatupa baada ya kupewa bus la yutong?
Huu ni mtego kwa Rais magufuli kutoka EU. Lissi akili Mingi.