Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Ukitaka kuwatawala watu milele tena bila usumbufu wa aina yoyote, basi wajaze ujinga badala ya maarifa. Wataishia kuwa misukule tu na utawafanya lolote utakalo. Na hii huwa ndio kazi ya propaganda, Ni kuwajaza watu ujinga ili watawalike kwa urahisi.
Uko sahihi mkuu,hata huyo mleta mada kajitahid sana kunizuia nisitoe elimu juu ya hizo picha ili ateke akili za WAPUMBAVU humu ndani.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Screenshot_20190312-225930.png
 
Hahaha sasa wewe unaumia nini? Si mnawaitaga mabeberu nyie, na mkasema Steve Sackur ni mkereketwa wenu sasa tatizo liko wapi.
 
Wazungu dhulumati sana asee, sasa wamemlipa kitu ambacho wanajua kabisa hawawezi kukileta, na kwanza sijui litakuwa na kazi gani, yaani KUB apande Hilo aache MV8!!
 
Hivi siku hizi hakuna Moderators??, Watu wanachukua picha ya basi google wanaipitisha Photoshop wanaweka logo za CDM wanaanzisha Uzi wa uongo, wenyewe wapo tu?
 
mtu atuchafulie nchi atusababishie uhusiano mbovu na donors wetu harafu atuletee siasa hizi wakati huu tuna spidi ya maendeleo ambayo haiwezi kuzuilika hata kidogo labda likamsaidie Odinga huko kenya au aligawe kwa mpinzani wa Bouteflika huko Algeria. ....View attachment 1044274

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona roho inakutoka wakati hata basi lenyewe ni hewa tu, roho mbaya utaijua tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom