Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Yaani mtu anajisifia na kusifiwa kabisa kwa Photoshop
Tuwe makini jamani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Tuwe makini jamani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shida.TRA inamsibiri.Thamani ya hilo gari ni mil 190,000,000. Na kodi yake inaeleweka.Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Shida sio nani katekwa bali nani mtakaji. Na kwa nini ateke. Na kwa nini aue watu wa tabaka fulani mfano mmoja tu nadhani unakumbuka idadi na aina ya watu waliouliwa Mkuranga, Rufiji na Kibiti. Ikiwa ni pamoja na askari na Viongozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji. Fikiria hapo kwanza. Kisha nitakupa mifano mingine zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shida.TRA inamsibiri.Thamani ya hilo gari ni mil 190,000,000. Na kodi yake inaeleweka.
Jamii Forums imekuwa kijiwe cha uzushi Kama Facebook na moderators wameshindwa kazi yao. Mtu anaanzisha uzushi na tangu Jana tumetupia Link ilipotoka picha ya hilo basi ikapitishwa PHOTOSHOP na kuletwa humu eti kazawadiwa Lissu basi.Tangu lini basi LUXURY ambalo Ni FULL AC vioo havifunguki likapigwa rangi kwenye vioo?,abiria wataonaje nje?View attachment 1045054
scania touring de vip bus - Пошук Google
Mkuu hiyo ni PHOTOSHOP.. Fungua link Chini...
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1045043
Hili ndilo basi halisi, Lissu kapewa basi kutoka Google Images na Photoshop..
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1045040
Acheni UPUMBAVU hii ishu nzima ni uongo, mliotoa Likes wote mmelisha matango pori hii habari nzima Ina uhusiano wa karibu Sana na PHOTOSHOP. Mmeingizwa mkenge na mleta mada. Bado sielewi dhumuni lake na kakomaa kweli na Uzi wa uongo 120%.
Hii ndio picha OG ya bus,chadema sijui wanataka kumdanganya nani na kwafaida ipi maujinga tu ndo yamejaa ufipa.View attachment 1044973
inawezekana kabisa pesa alizokua anachangiwa kwa ajili ya kujikimu ndo kanunua hilo bus ili kuvuta attention ya wanachadema wampitishe kugombea urais, huko sisi hatuiingilii nyie chadema paruaneni makucha na bus lenu mwisho wa siku mpitisheni mwingine kugombea urais mbali na lisu...hapo ndo mtashuhudia mpasuko wa chama chenu, lisu atakasirika na kujiunga na chama dume afrika-ccm