Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #1,161
Huwezi kumkubali na hautomkubali daima maana ameshinda mitego yenu yoote mliyo mtega na yupo tayari kulisukuma gurudumu la kuiendeleza cdmNi kweli kabisa ndio maana siku zote simkubali kabisa Mbowe na Genge lake.
Wameharibu sana harakati za kudai Demokrasia Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
In God we trust