Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Mkuu mbona unateseka sana?Unajitahid sana kumbrand lisu,kaza buti huenda utakua konda kwenye basi lake.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Wewe ndiyo unateseka kwenye threads za wenzako kisa umelipwa buku 7 na chakubanga

In God we trust
 
..kwanza sitakurudishia MATUSI uliyofurumusha.

..vilevile sitakuripoti kwa moderator, ingawa ilistahili nikuripoti.

..kuna UHALIFU huwa unatokea wakati wa vita.

..uchunguzi hauepukiki ili kuthibitisha kuwa yaliyotokea mkuranga-kibiti-rufiji hayakuwa uhalifu.

..na kama unadai watu 300+ waliopotea ni "collateral damage" basi jamaa zao wanastahili kulipwa FIDIA.
Mkuu huwezi kunirudishia matusi kwa sababu sijakutakana na wala kukudhalilisha.

Sperms is a scientific word kwa hiyo naweza kulitumia wakati wowote na katika situation yote ile. Sperms sio tusi. Kupigwa nyuma sio tusi kwani sija define specifically unapigwa nyuma na nini? Na hiyo inategemea jinsi unavyo itafsiri hiyo sentesi. Mahakamani nita shinda nina uhakika.

Zaidi ya hayo sina matumizi na wewe kwani huna hoja zaidi ya kurudia rudia maneno ambayo nimekwisha yamung'unya. Cha kutambua ni kuwa Kibiti
ilikuwa vita na katika vita matokeo mabaya yanaweza yakatokea.

Ndugu wa watanzania walio fariki Kibiti wanisamehe na nawaomba waonyeshe ujasiri wa kikabiliana na hili janga la kuwatokea mabaya ndugu zao. Nawaomba watambua kuwa damu za ndugu zao hazikumwagika bure, bali kwa malengo ya jeshi letu kuwaokoa wao na kuilinda amani na umoja wetu. Ni bahati mbaya baadhi ya watanzanua wenzetu hao kuwatokea kama ilivyo watokea. Yote hupangwa na Mungu. Silaha ya kuchangua adui na raia mwema haijagunduliwa bado, labda wewe ufanye jitihada kwenye kufanikisha haya badala ya kulalamika.

Chukua mfano wa Alexander Graham Bell. Alexander Graham Bell - Wikipedia
Bell mama yake alikuwa bubu na kiziwi na kwa vile alimpenda sana mama yake kama vijana wote walivyo, alikuwa anatafuta njia ya kuwasiliana na mama yake. Hatimaye aligundua telephone.

Sio kulalamika tu na kukimbilia watu wengine wachunguze majanga. Tumia akili yako kutafuta njia ya kuzuia mambo kama ya Kibiti yasitokee tena na sio kulia lia. Nenda mwenyewe kafanye uchunguzi na kujiridhisha na ikiwezekana tafuta njia ya kupata ufumbuzi wa kukomesha hilo tatizo.

Mmezoea blah blah blah siku nzima mkitegemea wengine ndiyo wafanye kazi chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio expert sana katika graphics ila hapo picha ya wazi kabisa wamefanya editing
hakuna kitu kama hicho hapooo

Ukubwa wa maneno na nembo kiutaalamu umezidi ratio ya ukubwa wa gari
pia ziko juu haziko katika gari
pia designing ya gari kwa ubora wao wasingeweza kufanya design mbovu hiyo
so hapo ni uongo hakuna cha basi wala nini
 
Wewe falah sana! I am sorry! Kwa nini watu 400 wasiweze kuwa magaidi? Na nani alikuambia kuwa wao walikuwa wana Kijiji? Identities zao unazijua, mpaka ukathibitisha kuwa walikuwa wana Kijiji? Ni watu wa Kijiji gani hao? Umesha sikia kuwa katika battle field magaidi wanaweza wakatumia raia kama ngao yao?

Hivyo wewe unaijua vita lakini? Hiyo namba ya idadi ya wana Kijiji uliipata wapi? Ulikuwepo kwenye hiyo vita? Unaweza niambia magaidi wanakuwa na idadi gani? Wanne sita au 1000? ISIS wako wangapi? Alshabbu nao je? Al-Kaida walikuwa wangapi? Na Bokoharam je? Sio magaidi?

Acha ushamba wewe. Magaidi ni magaidi wawe kutoka Tanzania au Msumbiji au Ulaya. Unaweza ukaniambia ISIS wote ni waarabu kutoka Syria au Saud Arabia? Unajua idadi kubwa ya ISIS ni wa European kutoka Ujerumani na nchi nyingine za East Europe? Magaidi sio majambazi. Magaidi ni wanajeshi wenye silaha za kivita. Na wako tayari kuua mtu yeyote yule asiye kwenda na matakwa yao.

Naomba tafuta kwanza informations vizuri kabla hujaanza kutoa hoja za kinjinga kama hizi kuhusu Magaidi!!!
View attachment 1045864
Huo ni mji wa Raqqa Syria ambako US lead Coalition Truppe iliukomboa kutoka mikononi mwa ISIS. Unajua raia wangapi waliuawa? Kuna mtu alienda kuchunguza mpaka sasa kujua raia wangapi walikuwa kwenye mapambano? Watu wengine ni mazezeta kweli kweli! Maswali gani haya unauliza?

Hivyo wewe unafikiri gaidi anapenda kufa kinjinga kama wewe unavyo dhani? Of course atajitahidi atakavyo weza hata kuwazuia raia wasiondoke au kuwaweka kama ngao yake ili msimu-attack.

Angalia vizuri hiyo picha ya Raqqa Syria. Askari atajua wapi adui amejificha? Jaribu kufikiri kijana. Msomi wa mitandaoni. Hapo collateral damage lazima itokee. Hakuna excuse! Wewe unafikiri Uganda raia wangapi waliuawa, ambao hawakujitakia kifo, lakini walijikuta wako katika mapambano? Wewe unafikiri bomu lina macho ya kutambua nani ni adui na nani sio? Acha ushoga wako hapa!

Nenda kwenye battle field uone watu wanavyo miminiana risasi na mabomu. Nafikiri utaelewa nini maana ya vita.

Wewe ulitaka polisi wetu wawaombe magaidi wajisalimishe na wao kukubali Ombi hilo? Du bist echt beknackt! (You are really stupid!)




Sent using Jamii Forums mobile app
Useme Kijerumani, Kihindi au Kireno hayanihusu. Wewe unazungumzia habari ya magaidi ambao hakuna mahali popote serikali au mahakama imethibisha kuwa walikuwa magaidi. Serikali haijawahi kusema jambo moja kubwa: Nani walikuwa wanaua Polisi wetu na kwa nini!!! Badala yake yamepelekwa malalamiko Bungeni juu ya kuchukuliwa watu majumbani na misikitini na kisha watu hao kutoweka.
Ifahamike kuwa hatuwezi kuwatendea Wananchi wetu unyama eti kwa sababu ISIS au Amerika wanafanya hayo. Two wrongs never make a right. Hatutaki ukatili katika nchi yetu.
Ni kweli katika mapambano yeyote dhidi ya wahalifu kuna wegine watauawa na wengine watakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria, sasa mbona kwenye suala la MKIRU hatuoni watu wakifikishwa mahakamani!!!? Tunawezaje kuruhusu viongozi wetu na watendaji wa vyombo vyetu vya usalama watende mambo kwa ukatili bila kufikisha watuhumiwa kwenye sheria. Imewahi kutokea mikoa ya Kanda ya ziwa miaka ya 1977/1078 kwamba vyombo vyetu vya usalama viliua baadhi ya watu waliodhaniwa kuwa wachawi. Kilichofuatia kinajulikana. Sheria ilichukua mkondo wake. Tunataka Serikali inayochukulia masuala ya Wananchi wake kwa uangalifu mkubwa; si serikali yenye dhana za Ki ISIS au AMERIKA.
 
Ahya nenda kwa chakubanga ukachukue buku 7 zikusaidie kesho
Mimi sio expert sana katika graphics ila hapo picha ya wazi kabisa wamefanya editing
hakuna kitu kama hicho hapooo

Ukubwa wa maneno na nembo kiutaalamu umezidi ratio ya ukubwa wa gari
pia ziko juu haziko katika gari
pia designing ya gari kwa ubora wao wasingeweza kufanya design mbovu hiyo
so hapo ni uongo hakuna cha basi wala nini

In God we trust
 
Useme Kijerumani, Kihindi au Kireno hayanihusu. Wewe unazungumzia habari ya magaidi ambao hakuna mahali popote serikali au mahakama imethibisha kuwa walikuwa magaidi. Serikali haijawahi kusema jambo moja kubwa: Nani walikuwa wanaua Polisi wetu na kwa nini!!! Badala yake yamepelekwa malalamiko Bungeni juu ya kuchukuliwa watu majumbani na misikitini na kisha watu hao kutoweka.
Ifahamike kuwa hatuwezi kuwatendea Wananchi wetu unyama eti kwa sababu ISIS au Amerika wanafanya hayo. Two wrongs never make a right. Hatutaki ukatili katika nchi yetu.
Ni kweli katika mapambano yeyote dhidi ya wahalifu kuna wegine watauawa na wengine watakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria, sasa mbona kwenye suala la MKIRU hatuoni watu wakifikishwa mahakamani!!!? Tunawezaje kuruhusu viongozi wetu na watendaji wa vyombo vyetu vya usalama watende mambo kwa ukatili bila kufikisha watuhumiwa kwenye sheria. Imewahi kutokea mikoa ya Kanda ya ziwa miaka ya 1977/1078 kwamba vyombo vyetu vya usalama viliua baadhi ya watu waliodhaniwa kuwa wachawi. Kilichofuatia kinajulikana. Sheria ilichukua mkondo wake. Tunataka Serikali inayochukulia masuala ya Wananchi wake kwa uangalifu mkubwa; si serikali yenye dhana za Ki ISIS au AMERIKA.
Nasikitika hujui unacho kisema. Wewe kama mtanzania una nini, kiasi kwamba ukafanya kitu bila Amerika? Ambayo wengi humu mnaisifu kuwa ni nchi yenye Demokrasia pure?

Any way, sikiliza mkuu inavyo onekana ni kuwa unapenda kutoa hoja ya vitu ambavyo umevisikia lakini huna uhakika navyo. Sasa subiri nikukalishe chini. Hizo habari za kuhusu uchawi wa kanda ya ziwa mwaka 77/78 huo utakuwa ni uongo, kwani katika miaka hiyo Kanda ya Ziwa haikuwepo badala yake Tanzania iligawanyika katika majimbo makubwa Manne. Jimbo la Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Hapakuwa na Kanda ya Kaskazini wala Central corridor.

Mwaka 1977 East African Community ilikufa. Storry ilikuwa kubwa sana kuhusu kuvunjika kwa EAC. Watu wengi sana walipoteza kazi na wengine kutupwa mpakani na wakenya, ni kitu ambacho watanzania wa generation yangu hatuta kisahau. Ilikuwa ni muda wa giza kubwa sana kwa nchi ambayo ni changa na ambayo ilikuwa inaanza kuyaweka maisha ya wananchi wake katika hali nzuri ya maendeleo. Mwaka huo huo pia Chuo Kikuu cha DSM kilifungwa na Mwalim Nyerere kwa sababu ya maandamano ya wanafunzi wa chuo kikuu. Na mwaka 1978 tulienda vitani dhidi ya Id Amin Dada. Hizo habari za Kanda ya Ziwa ngoja ni Pass, sijawahi kusikia miaka hiyo. Nitazifanyia uchunguzi!

Umesema vizuri kuwa serikali haijatoa Statement yeyote kuhusiana na watu walio kuwa wanawaua polisi wetu. Sina haja ya kueleza mengi kwani najua serikali inatenda wajibu wake kama inavyo paswa. Mda utafika wa kusikia mengi kutoka kwa wahusika. Subira lazima iwepo.

Unajua watu wengine mnaudhi sana. Yaani mnajisahau kama polisi nao ni binadam na wanastahili kuishi vile vile. Ingekuwa rahisi kama unavyo dhani nafikiri mambo yangekuwa mengine. Kuuliza swali la kwanini hao wauaji waliamua kuwaua polisi? Hilo swali sidhani kama ni rahisi kujibiwa, maana mawazo ya kuua mtu mwingine bila sababu, hiyo itakuwa kwenye ubongo wa huyo mtu aliyesababisha hayo mauaji ya polisi. Vinginevyo mtu unatakiwa uwe na uwezo wa Yesu Kristo kuweza kutambua nini kinaendelea katika ubongo wa binadam mwingine. Na kama huyo mtu ameuawa katika mapambano hiyo nafikiri ndiyo kabisa is difficult. Binafsi naona ni swali la kijinga. Maswali kama haya yanaulizwa na watoto wadogo ambao wanaanza kujifunza jinsi ulimwengu unavyoenda.

Katika maswala yanayo husu siasa na vyama kuhusika, kupeleka malalamiko Bungeni hiyo isiwe ndiyo ufumbuzi wa matatizo ambayo wanachi wanakabiliana nayo. Ningependa utambue kuwa vyama vya siasa na hasa vyama vya upinzani ulimwenguni kwote vinapo peleka malalamiko yao Bungeni, utambue kuwa mara nyingi ni kutaka kiki na vile vile kutaka kukidhalilisha chama kinacho tawala ili kuwaonyesha wapiga kura waone chama tawala kinavyo fanya makosa. Vyama vya upinzani always haviko kwa ajili ya kuvisifu vyama tawala. Usitegemee hilo. Na ndiyo maana vinafanya kila wawezalo kuupotosha uma ili katika uchaguzi wapiga kura wawa pigie wao kura. Ni kawaida.

Kama kweli kuna uonevu umefanyika wa hali ya juu namna hiyo kama unavyo jaribu kutuaminisha au wapinzani wanavyo jaribu kuwaaminisha wananchi yaliyotokea, nashangaa na kustaajabu kwanini wasipeleke mashtaka ya malalamiko hayo mahakamani?

Kama kuna unyama kweli umefanyika wapinzani kwa kushirikiana na mawakili wangekusanya informations za matukio na watu walio kumbwa kweli na mkasa na wangepeleka mashaka kwa hakimu na kuishtaki serikali. Sielewi kwa nini mpaka sasa hatua kama hizo hazijachukuliwa.

Inananiwia kidogo vigumu kuamini kama kweli hali ndiyo hivyo kama wapinzani wanavyo dai. Kuwa mwangalifu na wapinzani. Hawana lengo la kuisifu serikali. Lengo lao ni kukiangusha chama kinacho tawala kwa Ballot kama hujui.

Kama unafuatilia malumbano yanayo endelea Amerika kati ya Democratic Party na Republican na vile vile England na the Rest of Europe kuhusu maswala ya BREXIT, with a Deal or with no Deal na Treaty ya Back Door na kadhalika, utaona kuwa hiyo ni political circus tu! Ukweli wa mambo ni ushindani wa kisiasa na sio zaidi ya hayo.

Sidhani kama kuna mtu au serikali ambayo inafanya ukatili wa namna hiyo Tanzania. Inawezekana kuna baadhi ya watu ambao wana attitude ya aina hiyo, lakini huwezi ukadai kuwa serikali yetu ina tendence hiyo. Si kweli na atapenda kukubaliana na mawazo ya kinjinga ya namna hiyo.

Pamoja na hayo lazima tukubaliane kuwa hii hali ya magaidi kuamua kuyatoa maisha ya watu bila kutoa sababu zozote haiwezi likawa jambo la kulifumbia macho eti kwa sababu hatutaki serikali inayo wafanyia wananchi wake ukatili. Vitendo vya aina hii ni lazima vikomeshwe kwa nguvu zote. Na ndiyo maana navipongeza vyombo vya usalama kwa hatua iliyo chukua kukomesha vitendo vya ovyo namna hiyo.

Well done jeshi letu la usalama. Mmefanya kazi nzuri sana. Na sisi wananchi wazalendo kwa nchi yetu tuko sambamba na nyie. BIG UP![emoji106]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu alipokuwa anazopokea ndege zetu pale airport, wapinzani walikuwa wanachonga sana wakidai kuwa ni ushamba Kwa Rais kwenda juzi pokea hizo ndege, sasa nyie wapinzani hapo mmezawadiwa basi tu tena UDA mnaonyesha mbwembwe kibao sijui siku mkizawadiwa ndege nahisi mtazimia
Ndege inasaidia nn upuuz tu nchi hii masikini

ukanunue ndege5 cash itakuwa Kuna 10% km kile kivuko[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom