Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Mbowe lazima akubali maoni ya Watanzania vinginevyo atajuta sanaKwani Mbowe anasemaje? 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe lazima akubali maoni ya Watanzania vinginevyo atajuta sanaKwani Mbowe anasemaje? 😀
analalamika chadema ni mali binafsi ya badhi ya viongozi nadhani anamnanga mbowe hapoTupieni hints za asemacho
Sasa anazungumzia watekaji.Tupieni hints za asemacho
Lissu akiwa mwenyekiti Kuna mawili:-
1. Nchi kuingia kwenye machafuko, maana anafahamika jinsi anavopenda Shari
2. Chadema Kua na mwenyekiti hewa, Endapo akitimkia ubelgiji Kama kawaida yake (Kuhofia maisha yake).
Amestuka uchaguzi usifanyike usiku, Atapigwa!!Anasemaje? Amemshukuru Msiga? Mariu?
jeshi likiwa limelala labda.,Lissu akiwa mwenyekiti Kuna mawili:-
1. Nchi kuingia kwenye machafuko, maana anafahamika jinsi anavopenda Shari
2. Chadema Kua na mwenyekiti hewa, Endapo akitimkia ubelgiji Kama kawaida yake (Kuhofia maisha yake).
Lissu asijisahau sana,
Achunge Sana mdomo wake,
Maza hakurupuki kama jiwe,
Maza hacheki na kima yoyote.
Ngebe zake za kiipindi kile akizileta awamu Hii, tutamsahau mapema Sana.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ozQqkisoXJ4
Mhe Lissu kama alivyoahidi kuhutubia Taifa Leo siku ya tarehe 01.01.2025 majira haya ya mchana,
Mhe Lissu ni mkweli na tayari amenafanya hivyo msikilize.
Usiondoke Jf kwa habari na madili mbalimbali👌👌
==============================================
- Lissu ameendelea kupigilia msumari hoja yake ya ukomo wa madaraka ambapo amedokeza kuwa ni ngumu watu kuendelea kujitolea CHADEMA iwapo kutakuwa hakuna mfumo wa kurithishana madaraka ndani ya chama hicho.
"Kama hoja kuu ya kupinga madaraka kwenye vyama ni kwamba uongozi wa vyama vya siasa ni kazi ya kujitolea wanaopalilia hoja hii wamenyamaza kimya kuhusu pendekezo langu la kuwa na ukomo wa madaraka katika ubunge na udiwani wa viti maalum ambazo zote sio kazi za kujitolea"
"Kwa uzoefu wetu wenyewe, badala ya viti hivi kuwa fursa ya kuwajengea uwezo na uzoefu wa kuwa wabunge na madiwani, utaratibu wa viti maalum sasa umekuwa ni utaratibu wa wanawake wachache kujijengea himaya za kimalkia ndani ya vyama vyao kwa kutumia fursa na mafao ya ubunge au udiwani ili kujihakikishia wanaendelea kuwa wabunge"
jeshi likiwa limelala labda.,
mbowe ana maono ya mbali kwa chama chake anahitaji badae kuwe na mbadilishano wa madaraka kama ilivyo marekani sasa lisu mawazo yake ni mwisho wa urefu wa pua yake hapo ndipo wanapotofautiana na mbowe
Yupo live anamfuatilia na kumskiliza kwa umakini mkubwa sanaKwani Mbowe anasemaje? 😀
Asante sana mkuuanalalamika chadema ni mali binafsi ya badhi ya viongozi nadhani anamnanga mbowe hapo
🙏Sasa anazungumzia watekaji.
Yake matusi,ngebe na mafumbo yake kwny press conference, Mara aseme "tuna Raisi uchwara" n.kKosa la Lissu ni nini Mzee?
Kama hizo ngebe zake anavunja Sheria, mbona vyombo vya dola vipo na Sheria zipo, afunguliwe mashitaka, apelekwe mahakamani, Sheria na mahakama zikimkuta na hatia nichukue hatua.