Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

Sijayapigia chapuo,
Ila nmeongea uhalisia uliopo
Hata nisipoyasema, sote twajua yapo

Ni vema tukapeana tahadhari,
maana siasa Ni mchezo mchafu sana
Kwa hiyo wewe hata ukishikwa makalio na kiongozi huwezi sema huo ni ushnzi kwa vile wanawapoteza watu na kupiga kimya? Acha uzembe kijana, nchi sio yao pekee ni ya wote mradi huvunji sheria
 
Mbowe ni Dikteta, ni Kibaraka wa CCM
Lisu wawa zungu je yupi Mzalendo apo uyu katafuta bwana TZ Lisu katafuta Bwana mzungu baada ya kupata mazungu na pesa zipo sasa ulimbukeni wake anaanza kuwaponda mabwana wa tz kuwa awana pesa kama Abdur. Familia yake inaishi marekani kwa hisan y mzungu maisha swafi akipewa mipesa ya kutosha ili awe msaliti kwenye nchi yake uyu njaaa zaid afai,
 
Kwa hiyo wewe hata ukishikwa makalio na kiongozi huwezi sema huo ni ushnzi kwa vile wanawapoteza watu na kupiga kimya? Acha uzembe kijana, nchi sio yao pekee ni ya wote mradi huvunji sheria
Sheria zipi unazungumzia mkuu?

Tungekua tunafuata Sheria, wale madogo wamesota jela 4yrs,

afu Jana wameachiwa kirahisi tu,
Jiulize, Kuna fidia yoyote wamelipwa?
 
Tunapowaambia CCM tunataka uchaguzi huru na wa haki, basi na CDM ihakikishe chaguzi zake zinakuwa huru na haki, tutapozungumzia ukomo wa uongozi na kufuata Sheria na katiba basi na Sisi CDM tuwe mfano.
Inatakiwa mtoe vigezo vya uchaguzi wa huru na haki badala ya kuweka kama njia ya kulalamikia matokeo kama mgombea wenu akishindwa. Na Lissu amekuwa sehemu ya uongozi wa juu wa CDM, kwa nini yeye kama Mwanasheria Mkuu wa CDM asitoe rai hii mapema?
CCM sio chama rafiki Kwa Watanzania bali CCM ni kikundi cha watu wanaotumia chama na siasa kuwaslave Watanzania na kujinufaisha na familia zao kupitia rasirimali na nguvu za watanzania.

Watanzania wanahitaji utawala na system mpya zitakazosimamia rasirimali na Mali za watanzania Kwa maslahi ya Watanzania.
Njia mbaadala wa kuitoa CCM ni kupitia chama na watu wenye msimamo migumu isiyoyumbishwa ili waweze kuisimamia Nia ya dhati ya Watanzania kuendeleza nchi yao.
Kwa hiyo viongozi wa sasa wa CDM hawana msimamo mgumu na wanayumbishwa ovyo?
Ni ngumu sana Watanzania kuitoa CCM kwa CDM ya Mbowe ambayo ilishatekwaa kitambo na wahuni walewale walio nyuma ya CCM wakiwa na lengo moja tu lakuwaslave Watanzania.
Mbowe huyu huyu aliyewainua hao mnaowapigia debe na aliyekifikisha chama mpaka sasa kila mmoja anatamani akiongoze! Binadamu kweli hawana shukrani.

Amandla...
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kosa la Lissu ni nini Mzee?

Kama hizo ngebe zake anavunja Sheria, mbona vyombo vya dola vipo na Sheria zipo, afunguliwe mashitaka, apelekwe mahakamani, Sheria na mahakama zikimkuta na hatia nichukue hatua.
Watu wana dharau sana,wanaidharau serikali sana,yaani inaonyesha eti Lissu anavunja sheria za nchi ma serikali inamuona haimchukulii hatua,vilevile kuna wengine huwa waniodharua serikali na vyombo vyake,kwakusema eti CHADEMA WAMEMPIGA LISSU RISASI au wengine wanasema CHADEMA WANATEKANA.Yaani serikali ikubali kuchafuliwa na CHADEMA, na ipigwe marufuku kuelsipozi maovu yao,hiyo ni serikali au?
 
Yaani wewe unaweza ignore veteran politician, kwa kuweka njuka bungeni.

Akili zake zinamtosha mwenyewe.

Mwanasiasa ajajingea ufuasi kwenye jamii umuweke bungeni, utoe mwenye influence kwenye jamii. Kisa katiba ya chama.

Akili zake zinamstosha mwenyewe, Lissu ni mwanaharakati sio mwanasiasa.
Kumbuka hata hao veteran politician, walianza wakiwa hawana influence ktk jamii, hivo ni jambo jema kuwapa nafasi watu wapya.
 
Yake matusi,ngebe na mafumbo yake kwny press conference, Mara aseme "tuna Raisi uchwara" n.k

Akizileta awamu hii, hakuna mwenye muda WA kumpeleka mahakamani.

Tumeshuhudia wengi TU wanavohukumiwa underground,

afu Maza anapiga Kimya,
Yaan Kama vile hamna kilichotokea.

Kila mtu anaendelea na ishu zake.
Kuuwa nako pia ni kipaji. Yeye kaoewa kipaji cha kusema wewe umepewa kipaji cha kuuwa mpaka unaona fahari. Kama mtu akikusema kazi yako ni kuua tu, utaishi na watu wa mlengo tofauti ? MUNGU muumbaji mwenyewe anasemwa vibaya, sembuse binadamu watakookufa nao ???
 
Back
Top Bottom