Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuseme ni kweli ni 9B,kaitoa wapi huko wakati hatuna maji?
 
sure,
macho yamevimba maana jukwaa lilinivutia zaidi kulitazama kutoka simiyu nilipo dah, halafu mic zilikua zinamsmbua sana kazi sana aise
Utajua yote tu.Hawana bilioni 54 za kuiba wajenge majukwaa ya muda.Bali wana mema na mafundisho ya kuwakomboa wananchi.
 
wacha nikuongezee kidogo,

yaani unazungumzia vipikipiki elf20 pekee?

sasa hiyo ni nini kwa ccm, kama chadema waliingiza pickup za m4c zaid ya 100 kwa mara moja bila ruzuku na haijulika ziko wap mpaka sasa hata moja

sikiliza ilo hivi,
bodaboda, bajaji, mipira na jezi za michezo za ccm, tracks & jackets, t shirts, kofia, fulana, vitenge, kanga, skafu, beji, medali n.k ni sehemu kidogo sana ya ruzuku ya chama cha mapindizi....

lakini bado, kuna kalamu za risasi za kisasa, notebooks, daftari, mav8 kama yote 0km ambayo nayo ni sehemu kidunchu sana ya ruzuku ya chama cha mapinduzi ....

nimesema sana kwa wenzako, narudia tena kwako, gentleman,
uchaguzi ni process, uchaguzi ni plan na strategies ambayo ni very expensive acha mchezo aise

ushindi wa kishindo is not a joke, it is real actions, acheni utani bana....

, et mtu anakuja from no where, ng"weng"weng"we nataka niwe raisi wa TZ, unachekesha wew
 
Usiwe unakariri yote uliyoambiwa shule ya vidudu kwamba kila nchi ya Ulaya iwe magharibi tu.Tafuta uhalisia.
inabidi ufungue uzi tupate revision kidogo,

kwahiyo yale mabwenyenye ni ya upande gani yanayomrubuni na kumshika akili kamanda wetu ambae alikua mzalendo mzuri tu anaeaminika singida
 
Kuhusu kampeni kuanza mapema ni kawaida ccm kuanza ligi hiyo kabla ya wakati. Kuna wale wapinzani laini bado wamelala usingizi wa pono halafu wanataka walau waambulie jimbo moja. Chadema waendelee na uzi wao waunganishe na kampeni hapohapo.
 
Kuhusu kampeni kuanza mapema ni kawaida ccm kuanza ligi hiyo kabla ya wakati. Kuna wale wapinzani laini bado wamelala usingizi wa pono halafu wanataka walau waambulie jimbo moja. Chadema waendelee na uzi wao waunganishe na kampeni hapohapo.
ccm wakifanya mikutano yao ya hadhara ni kampeni, upinzani wakifanya mikutano yao iliyododa, hiyo sio kampeni ni uhuru na haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara....

daahh,
hii dunia ni mvinringo au duara
 
Tutusa kama wewe huwezi kumuelewa Lissu kwa sababu nawe ni mnufaika wa hizo pikipiki za bure.
Umezoea vya bure hivyo huwezi kumwelewa.
 
Huwa mnalipwa bei gani kuhangaika kuzibeza na kuzikanusha hoja halali za wapinzani?

Kuna mTz yeyote asiyeelewa madudu ya Serikali anayoyaanika Lisu?

Shem on you!
acha upotoshaji basi gentleman,

kuana hoja wapi pale na wewe,
kama sio malalamiko yanayochochewa na mihemko isiyo na maana na ndio maana upuuzwaji wake ni wa kiwango cha juu sana....

kana namna ya kutoa na kuwasilisha hoja bana,
sio kubwekabweka tu, kupayukapayuka na kuropoka ropoka bila mpangilio. atakuskiza nani sasa kama sio kukupuuza tu
 
Hizi pikipiki itakuwa ni za waarabu wa dp world na wale wa loliondo waliowatoa wamasai kule na kwenda kuwajengea vijumba msomera. Hii hichi tusipokuwa wakali na rasimali za nchi hii kila taifa uarabuni, uchina, korea, ulaya na amerika wataona ni shamba la bibi watajipatia maeneo yao ya kujitochotea utajiri wa kujenga mataifa yao huku wananchi wakiangalia tu. Ni ukoloni mpya wa aina yake
 
ccm wakifanya mikutano yao ya hadhara ni kampeni, upinzani wakifanya mikutano yao iliyododa, hiyo sio kampeni ni uhuru na haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara....

daahh,
hii dunia ni mvinringo au duara
wapi mikutano ya wapinzani imedoda? Ya ccm ndio hudoda, huhudhuriwa na wanachama wake tu tena kwa kuhamsishana watoke kwa wingi
 
wapi mikutano ya wapinzani imedoda? Ya ccm ndio hudoda, huhudhuriwa na wanachama wake tu tena kwa kuhamsishana watoke kwa wingi
ziliaanza jorgingi zikadoda saivi, mikutano inachekesha na kutia huruma..

yaan, eti mkutano unaendelea hapa, tena ni mtua anaetamani kua rais, lakin wengine wanaendelea kucheza mpira wao tu kama vile hakuna kitu kinaendelea pembezoni mwao

kiongozi amekua sio kivutio tena, dah,

wananchi bana wanajua sana mambo haya, sijui wanaogopa mikutano yake kwasababu anaweza kuomba wamchangie tena
 
Wewe unaishi jamii gani?

Tz nzima inauguza vidonda vya sukari na ufisadi mwingine wa wazi serikali imefanya, mwenzetu upo mkubwabwaja tu.

Kwa akili za hivi, ndiyo maana mwarabu kukamata watumwa hakuhangaika.
 
Wewe unaishi jamii gani?

Tz nzima inauguza vidonda vya sukari na ufisadi mwingine wa wazi serikali imefanya, mwenzetu upo mkubwabwaja tu.

Kwa akili za hivi, ndiyo maana mwarabu kukamata watumwa hakuhangaika.
naona yaleyale tu ya kupuuzwa nawe uko sambamba nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…