Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wacha nikuongezee kidogo,

yaani unazungumzia vipikipiki elf20 pekee?

sasa hiyo ni nini kwa ccm, kama chadema waliingiza pickup za m4c zaid ya 100 kwa mara moja bila ruzuku na haijulika ziko wap mpaka sasa hata moja:pedroP::pedroP:

sikiliza ilo hivi,
bodaboda, bajaji, mipira na jezi za michezo za ccm, tracks & jackets, t shirts, kofia, fulana, vitenge, kanga, skafu, beji, medali n.k ni sehemu kidogo sana ya ruzuku ya chama cha mapindizi....

lakini bado, kuna kalamu za risasi za kisasa, notebooks, daftari, mav8 kama yote 0km ambayo nayo ni sehemu kidunchu sana ya ruzuku ya chama cha mapinduzi ....:pulpTRAVOLTA:

nimesema sana kwa wenzako, narudia tena kwako, gentleman,
uchaguzi ni process, uchaguzi ni plan na strategies ambayo ni very expensive acha mchezo aise:pulpTRAVOLTA:

ushindi wa kishindo is not a joke, it is real actions, acheni utani bana....

, et mtu anakuja from no where, ng"weng"weng"we nataka niwe raisi wa TZ, unachekesha wew:pedroP:
What a foolish and stupid arguments from Tlaatlaah...!!

Kila uchafu wa CCM na Rais wenu Samia Suluhu Hassan unapotajwa tu, utetezi wenu unakuwa: Mbona CHADEMA hivi au vile......?

Utetezi wa namna hii siku zote unathibitisha uovu na ufisadi wenu tu. Be carefully. Don't expose your ignorance that way!

Mtu mwenyewe unayetetea ujinga na upumbavu huu si ajabu ni mlamba viatu wa mabwana zenu wafiraji na bibi zenu wasagaji huko CCM!!

Eti unasema uchaguzi ni "process" na ni "expensive" na kwa hiyo hii ndiyo inampa uhalali Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kuhongwa na waarabu kwa kutumia madaraka yake ya "U Rais" kutoa rasrimali za asili za Tanganyika. Really?

That👆 is very devilish, barbaric argument from an ignorant creature with the name Tlaatlaah!

Kwa hiyo acha porojo Kijana wa kike/kiume. Think about your country, your people and your future children and grandchildren

Hujajibu hoja za Tundu Lissu na CHADEMA.

Na sidhani hata kama huko CCM kuna akili za mtu mmoja wa kutoa majibu ya kueleweka kwa sababu akili (mind) zenu ziko permanently destroyed na tabia uovu na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Hakuna mtu huko wa kulitetea hili akaeleweka!!

By the way, wala hizo siyo pikipiki za CCM wala za serikali. Hizo ni za Mama Abdul a.k.a Samia Suluhu Hassan.

Na, Ok. Utetezi wako umejiegamiza CHADEMA

And let's assume that, ni kweli CHADEMA walinunua magari 100 miaka hiyo.

Swali unalopaswa kujibu ni hili:

Walimwibia mtu mapesa hayo? Waliuza ukucha wa Mtanganyika yeyote kupata magari hayo?

All in all, still swali libabaki kuwa SSH2025 katoa wapi pesa zote hizo za kununua mapikipiki yote hayo na kugawa nchi nzima?

Benjamin William Mkapa 2004 aliiba USD100 toka Benki Kuu Ili kuisaidia CCM kwenye kampeni zake za kumfanya Kikwete Rais mwaka 2005.

Tunaona huyu Mzanzibari ni mbaya zaidi. Hana huruma kabisa na Watanganyika. Lakini wewe Mtanganyika mwenzetu kwa kuwa unapambania tumboni lako wala huoni ubaya huo.

Huyu Mzanzibari, yeye anaiba pesa za umma ambazo zingeleta USTAWI na MAENDELEO ya watu wote na anauza rasrimali za Tanganyika kwa waarabu na yeye in return anahongwa mapesa Ili yamwezeshe kubaki madarakani.

Huyu comes 2025, hawezi kuiongoza Tanganyika!!!
 
Serikali kukaa kimya na kumuacha huyu bwana kudanganya umma ni kama,haileti afya kwa nchi yetu,

Huyu jamaa asili yake ni uongo,na ni mchonganishi mkubwa sana,hafai hata kupewa uenyekiti wa kitongoji. watanzania tuamke tukatae wanasiasa wa jamii ya Lissu wanahatarisha usalama wa nchi yetu.

Nimengalia bei yapikipiki kwenye mtandao wa alibaba ,pikipiki moja mpya inauzwa kuanzia shilingi 700,000 hadi sh 1,000,000 kwa boxer mpya,sasa yeye lissu anasema pikipiki moja ni sh 3,000'000 huu ni uongo,na kwa bei hii nchini China ya 700,000 kuna uwezekano wa kupunguziwa bei kutokana na mzigo kuwa mkubwa hivyo pikipiki moja ikauzwa kwa sh 500,000 mara 18,200 sawa sawa nabilioni 9 tu

Sasa huyu yeye hiyo bei ya 54 B kaitoa wapi,kweli hata mimi nitake mzigo wote huo wa pikipiki 18,200 ninunue nchini wakati ukiagiza china bei ni nafuu mara dufu

Watanzania tuamke na tuwakatae mapema sana hawa watu wanaotuchinganisha kwa masrahi yao wenyewe
Haha uji...mama kaanza kampeni kabla ya Muda, na hizi hela ni kifungu kipi???
 
What a foolish and stupid arguments from Tlaatlaah...!!

Kila uchafu wa CCM na Rais wenu Samia Suluhu Hassan unapotajwa tu, utetezi wenu unakuwa: Mbona CHADEMA hivi au vile......?

Utetezi wa namna hii siku zote unathibitisha uovu na ufisadi wenu tu. Be carefully. Don't expose your ignorance that way!

Mtu mwenyewe unayetetea ujinga na upumbavu huu si ajabu ni mlamba viatu wa mabwana zenu wafiraji na bibi zenu wasagaji huko CCM!!

Eti unasema uchaguzi ni "process" na ni "expensive" na kwa hiyo hii ndiyo inampa uhalali Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kuhongwa na waarabu kwa kutumia madaraka yake ya "U Rais" kutoa rasrimali za asili za Tanganyika. Really?

That👆 is very devilish, barbaric argument from an ignorant creature with the name Tlaatlaah!

Kwa hiyo acha porojo Kijana wa kike/kiume. Think about your country, your people and your future children and grandchildren

Hujajibu hoja za Tundu Lissu na CHADEMA.

Na sidhani hata kama huko CCM kuna akili za mtu mmoja wa kutoa majibu ya kueleweka kwa sababu akili (mind) zenu ziko permanently destroyed na tabia uovu na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Hakuna mtu huko wa kulitetea hili akaeleweka!!

By the way, wala hizo siyo pikipiki za CCM wala za serikali. Hizo ni za Mama Abdul a.k.a Samia Suluhu Hassan.

Na, Ok. Utetezi wako umejiegamiza CHADEMA

And let's assume that, ni kweli CHADEMA walinunua magari 100 miaka hiyo.

Swali unalopaswa kujibu ni hili:

Walimwibia mtu mapesa hayo? Waliuza ukucha wa Mtanganyika yeyote kupata magari hayo?

All in all, still swali libabaki kuwa SSH2025 katoa wapi pesa zote hizo za kununua mapikipiki yote hayo na kugawa nchi nzima?

Benjamin William Mkapa 2004 aliiba USD100 toka Benki Kuu Ili kuisaidia CCM kwenye kampeni zake za kumfanya Kikwete Rais mwaka 2005.

Tunaona huyu Mzanzibari ni mbaya zaidi. Hana huruma kabisa na Watanganyika. Lakini wewe Mtanganyika mwenzetu kwa kuwa unapambania tumboni lako wala huoni ubaya huo.

Huyu Mzanzibari, yeye anaiba pesa za umma ambazo zingeleta USTAWI na MAENDELEO ya watu wote na anauza rasrimali za Tanganyika kwa waarabu na yeye in return anahongwa mapesa Ili yamwezeshe kubaki madarakani.

Huyu comes 2025, hawezi kuiongoza Tanganyika!!!

ukielezwa ukweli unabwekabweka na mihemko ambayo ni useless, na ambayo pia ni completely nonsense 🐒

mipasho na kubabaika babaika muifanye huko huko na ghadhabu zenu, but ukweli utaelezwa bayana bila wasiwasi wowote, na upotoshaji wa aina yoyote dhidi ya chama na serikali sikivu ya CCM utakabiliwa na kudhibitiwa vilivyo tena kwa hoja muafaka bila mbambamba yoyote....

matusi, gubu na makasiriko ya aina yoyote dhidi ya viongozi wa chama na serikali sikivu ya CCM yataendelea kukabiliwa vilivyo kwa mtindo wa kupuuzwa kama kawaida.....

vitisho vya kinyoonge na dhaifu kama hivi vyako ukawafanyie wanyonge wenzio wanaongozwa na kuchochewa na mihemko isiyo na tija wala maana yoyote 🐒

ikiwa huna hoja wala mambo ya maana dhidi ya chama chako tuliza kipago 🐒
 
"MIMI................... NIKIWA NA AKILI ZANGU TIMAMU NAAPA KWAMBA SITAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN KUTOKANA NA MAMBO ANAYOITENDEA TANGANYIKA NA TANZANIA KWA JUMLA NA MUNGU NISAIDIE KUYAKUMBUKA MUDA WOTE"
 
ukielezwa ukweli unabwekabweka na mihemko ambayo ni useless, na ambayo pia ni completely nonsense 🐒

mipasho na kubabaika babaika muifanye huko huko na ghadhabu zenu, but ukweli utaelezwa bayana bila wasiwasi wowote, na upotoshaji wa aina yoyote dhidi ya chama na serikali sikivu ya CCM utakabiliwa na kudhibitiwa vilivyo tena kwa hoja muafaka bila mbambamba yoyote....

matusi, gubu na makasiriko ya aina yoyote dhidi ya viongozi wa chama na serikali sikivu ya CCM yataendelea kukabiliwa vilivyo kwa mtindo wa kupuuzwa kama kawaida.....

vitisho vya kinyoonge na dhaifu kama hivi vyako ukawafanyie wanyonge wenzio wanaongozwa na kuchochewa na mihemko isiyo na tija wala maana yoyote 🐒

ikiwa huna hoja wala mambo ya maana dhidi ya chama chako tuliza kipago 🐒
Kwa hiyo ni halali kugawa Pikipiki zilizoandikwa SSH2025 Kwa akili zako timamu? Toeni ushauri kwa washauri wake. Hata Wana CCM wenzenu wanaojitambua wako against na hili.
 
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango.

Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya vijiji vyake, mkoa mzima wa Singida zimeletwa pikipiki 700, na Tanzania nzima kila mkoa kapeleka pikipiki 700, na Tanzania bara iko mikoa 26, hivyo fanya pikipiki 700*26 ni 18,200. Ukienda mjini kuafuta pikipiki moja inauzwa milioni 3 mpyaa. Zidisha pikipiki 18,200*3,000,000 ni shilingi bilioni 54,600,000,000.

Bilioni 54 katika nchi ambayo watoto wanakaa chini hawana madawati, mahospitali hayana madawa, hakuna maji ya kunywa, barabara ni mbovu ila kuna pikipiki za kugawa bure za Rais za Tsh. 54,600,000,000

Nyie mnajua maana sizungumzi vitu ambavyo hamvijui, Magufuli si alifanya kampeni, aligawa pikipiki? Kikwete si alifanya kampeni, aligawa pikipiki? Mkapa aligawa pikipiki?

Huyu anatuletea pikipiki, siyo za CCM, zingekuwa za CCM zingeandikwa Chagua CCM etc etc. Hizi zimeandikwa SSH2025, ni za kwake na siyo za Serikali.

Hizo hela amezitoa wapi huyo anayetaka tumuite mama? kumbuka ameuza bandari zetu kwa warabu, ameuza hifadhi ya misitu yetu hekta 9,900,000 kwa waarabu, kiwanja cha ndege cha KIA kauza kwa waarabu, kule umasaini kafukuza wamasai wamepelekwa Handeni ili auze kwa waarabu.

Hii bilioni 54 ametoa wapi kama siyo hii biashara haramu anayofanya na mali za nchi yetu? CCM tuambie huyu mwenyekiti wenu anayetaka tumuite mama ametoa wapi hizi pikipiki hizi 18,200. Ana hela wapi, ana biashara gani?

Mwalimu Nyerere kabla hajafa aliuza " Hivi Ikulu kuna Biashara gani" Samia Suluhu Hassan, Ikulu kuna biashara gani za kukupatia wewe Tsh 54,600,000,000 za kugawa pikipiki Tanzania nzima?

Pia soma: Kuelekea 2025 - Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Kama ni kweli 🙃🧐😫$)!@;/-“!?}+€<\}#¥=!!!?
 
Kwa hiyo ni halali kugawa Pikipiki zilizoandikwa SSH2025 Kwa akili zako timamu? Toeni ushauri kwa washauri wake. Hata Wana CCM wenzenu wanaojitambua wako against na hili.
ndio,
ni pikipiki za chama, hayupo wa kuipangia CCM ifanye nini na mabilioni yake ya ruzuku 🐒

na for your information hiyo ni sehemu kidogo mno ya ruzuku kwa mwaka huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒

mwakani kwenye uchaguzi mkuu mbona mtaimba mtaisoma namba vizuri sana....
unadhani ushindi wa kishindo unakuaga rahisi rahisi tu, alafu eti mje na visingizio vyenu vya kushindwa uchaguzi ng"weng"weng"we thumehibiwa kutha nyambafu 🤣
 
ukielezwa ukweli unabwekabweka na mihemko ambayo ni useless, na ambayo pia ni completely nonsense 🐒

mipasho na kubabaika babaika muifanye huko huko na ghadhabu zenu, but ukweli utaelezwa bayana bila wasiwasi wowote, na upotoshaji wa aina yoyote dhidi ya chama na serikali sikivu ya CCM utakabiliwa na kudhibitiwa vilivyo tena kwa hoja muafaka bila mbambamba yoyote....

matusi, gubu na makasiriko ya aina yoyote dhidi ya viongozi wa chama na serikali sikivu ya CCM yataendelea kukabiliwa vilivyo kwa mtindo wa kupuuzwa kama kawaida.....

vitisho vya kinyoonge na dhaifu kama hivi vyako ukawafanyie wanyonge wenzio wanaongozwa na kuchochewa na mihemko isiyo na tija wala maana yoyote 🐒

ikiwa huna hoja wala mambo ya maana dhidi ya chama chako tuliza kipago 🐒
Haa haa😅😅

Hivi mjinga kama wewe unastahili kuambiwa kwa lugha gani Ili uelewe?

Ni hiyo uliyoisoma Ili iamushe akili yako vyema!!
 
Back
Top Bottom