Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waache na pikipiki zao. Huku mitaani tuna njaa hizo pikipiki hazitawasaidia kwenye kura.
 
anajitutumua na kujichasha bure tu,

wananchi wanaendelea na shughuli zao tu wala hawana habari nae maskini:pulpTRAVOLTA:

siku ya 17 leo, kakomaa na singida tu na wala hana inpact yoyote, kama yalivyokua yale majorging waliyoyafanya huko nyuma, anadai eti lema amepata dharura ameshindwa kuhudhuria mkutano wa itigi :pedroP:
Kumtaja Lisu au kada yoyote wa cdm kunaweza kukupa umaarufu na Uzi wako kupata wachangiaji wengi 😂
 
anajitutumua na kujichasha bure tu,

wananchi wanaendelea na shughuli zao tu wala hawana habari nae maskini:pulpTRAVOLTA:

siku ya 17 leo, kakomaa na singida tu na wala hana inpact yoyote, kama yalivyokua yale majorging waliyoyafanya huko nyuma, anadai eti lema amepata dharura ameshindwa kuhudhuria mkutano wa itigi :pedroP:
Taratibu dawa inakuingia tulia.
 
Huwa mnalipwa bei gani kuhangaika kuzibeza na kuzikanusha hoja halali za wapinzani?

Kuna mTz yeyote asiyeelewa madudu ya Serikali anayoyaanika Lisu?

Shem on you!
 
Serikali kukaa kimya na kumuacha huyu bwana kudanganya umma ni kama,haileti afya kwa nchi yetu,

Huyu jamaa asili yake ni uongo,na ni mchonganishi mkubwa sana,hafai hata kupewa uenyekiti wa kitongoji. watanzania tuamke tukatae wanasiasa wa jamii ya Lissu wanahatarisha usalama wa nchi yetu.

Nimengalia bei yapikipiki kwenye mtandao wa alibaba ,pikipiki moja mpya inauzwa kuanzia shilingi 700,000 hadi sh 1,000,000 kwa boxer mpya,sasa yeye lissu anasema pikipiki moja ni sh 3,000'000 huu ni uongo,na kwa bei hii nchini China ya 700,000 kuna uwezekano wa kupunguziwa bei kutokana na mzigo kuwa mkubwa hivyo pikipiki moja ikauzwa kwa sh 500,000 mara 18,200 sawa sawa nabilioni 9 tu

Sasa huyu yeye hiyo bei ya 54 B kaitoa wapi,kweli hata mimi nitake mzigo wote huo wa pikipiki 18,200 ninunue nchini wakati ukiagiza china bei ni nafuu mara dufu

Watanzania tuamke na tuwakatae mapema sana hawa watu wanaotuchinganisha kwa masrahi yao wenyewe
Wewe Utakuwa Samia kwa hiyo utapitisha bila ya kulipa ushuru. Kweli Lissu ni muongo!
 
CCM wanavyanzo vingi vya mapato, pengine zimetokes huko
Usidanganyike...!

Hizo fedha za vyanzo vyao vya mapato zote huishia kwenye mifuko binafsi ya watu..!!

Na ofcoz wana bilioni kama 2 au 3 hivi za ruzuku kila mwezi...

Sasa hizo bilioni 3 hata ukizidisha kwa mwaka mzima hawawezi kufikisha bilion 54..

Na kumbuka CCM ni chama kikubwa. Ndani ya pesa zao hizo za ruzuku na projects za ni lazima zitumike kwenye;

=Gharama za uendeshaji chama zikiwemo operesheni mbalimbali za chama chao,

=Kulipa mishahara ya watumishi wao,

=Maintainince cost nk nk

Swali linabaki palepale huyu katoa wapi pesa zote hizi za mkupuo mmoja wa kulipia pikipiki karibu 20,000 na kuzigawa nchi nzima?????????

Huyu mama ni mwizi na ni fisadi, hakuna kupepesa macho wa kujiumauma!!
 
Ulichokiandika hapa ndio impact yenyewe. Tulieni tunataka majibu SSH bodaboda katoa wapi hela. Suala la sukari lipo Bungeni.
bodaboda, bajaji, mipira na jezi za ccm, t shirts, kofia, fulana, vitenge, kanga, skafu, beji, medali n.k ni sehemu kidogo sana ya ruzuku ya chama cha mapindizi....

lakini bado, kuna kalamu za risasi za kisasa, notebooks, daftari, mav8 kama yote 0km ambayo nayo ni sehemu kidunchu sana ya ruzuku ya chama cha mapinduzi :pedroP: :pedroP:

gentleman,
uchaguzi ni process, uchaguzi ni plan na strategies ambayo ni very expensive acha mchezo aise:pedroP::pedroP:

ushindi wa kishindo is not a joke, it is real actions, acheni utani bana....

, et mtu anakuja from no where, ng"weng"weng"we nataka niwe raisi wa TZ, unachekesha wew:pedroP::pedroP:
 
Back
Top Bottom