Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
What a foolish and stupid arguments from Tlaatlaah...!!

Kila uchafu wa CCM na Rais wenu Samia Suluhu Hassan unapotajwa tu, utetezi wenu unakuwa: Mbona CHADEMA hivi au vile......?

Utetezi wa namna hii siku zote unathibitisha uovu na ufisadi wenu tu. Be carefully. Don't expose your ignorance that way!

Mtu mwenyewe unayetetea ujinga na upumbavu huu si ajabu ni mlamba viatu wa mabwana zenu wafiraji na bibi zenu wasagaji huko CCM!!

Eti unasema uchaguzi ni "process" na ni "expensive" na kwa hiyo hii ndiyo inampa uhalali Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kuhongwa na waarabu kwa kutumia madaraka yake ya "U Rais" kutoa rasrimali za asili za Tanganyika. Really?

ThatπŸ‘† is very devilish, barbaric argument from an ignorant creature with the name Tlaatlaah!

Kwa hiyo acha porojo Kijana wa kike/kiume. Think about your country, your people and your future children and grandchildren

Hujajibu hoja za Tundu Lissu na CHADEMA.

Na sidhani hata kama huko CCM kuna akili za mtu mmoja wa kutoa majibu ya kueleweka kwa sababu akili (mind) zenu ziko permanently destroyed na tabia uovu na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Hakuna mtu huko wa kulitetea hili akaeleweka!!

By the way, wala hizo siyo pikipiki za CCM wala za serikali. Hizo ni za Mama Abdul a.k.a Samia Suluhu Hassan.

Na, Ok. Utetezi wako umejiegamiza CHADEMA

And let's assume that, ni kweli CHADEMA walinunua magari 100 miaka hiyo.

Swali unalopaswa kujibu ni hili:

Walimwibia mtu mapesa hayo? Waliuza ukucha wa Mtanganyika yeyote kupata magari hayo?

All in all, still swali libabaki kuwa SSH2025 katoa wapi pesa zote hizo za kununua mapikipiki yote hayo na kugawa nchi nzima?

Benjamin William Mkapa 2004 aliiba USD100 toka Benki Kuu Ili kuisaidia CCM kwenye kampeni zake za kumfanya Kikwete Rais mwaka 2005.

Tunaona huyu Mzanzibari ni mbaya zaidi. Hana huruma kabisa na Watanganyika. Lakini wewe Mtanganyika mwenzetu kwa kuwa unapambania tumboni lako wala huoni ubaya huo.

Huyu Mzanzibari, yeye anaiba pesa za umma ambazo zingeleta USTAWI na MAENDELEO ya watu wote na anauza rasrimali za Tanganyika kwa waarabu na yeye in return anahongwa mapesa Ili yamwezeshe kubaki madarakani.

Huyu comes 2025, hawezi kuiongoza Tanganyika!!!
 
Haha uji...mama kaanza kampeni kabla ya Muda, na hizi hela ni kifungu kipi???
 

ukielezwa ukweli unabwekabweka na mihemko ambayo ni useless, na ambayo pia ni completely nonsense πŸ’

mipasho na kubabaika babaika muifanye huko huko na ghadhabu zenu, but ukweli utaelezwa bayana bila wasiwasi wowote, na upotoshaji wa aina yoyote dhidi ya chama na serikali sikivu ya CCM utakabiliwa na kudhibitiwa vilivyo tena kwa hoja muafaka bila mbambamba yoyote....

matusi, gubu na makasiriko ya aina yoyote dhidi ya viongozi wa chama na serikali sikivu ya CCM yataendelea kukabiliwa vilivyo kwa mtindo wa kupuuzwa kama kawaida.....

vitisho vya kinyoonge na dhaifu kama hivi vyako ukawafanyie wanyonge wenzio wanaongozwa na kuchochewa na mihemko isiyo na tija wala maana yoyote πŸ’

ikiwa huna hoja wala mambo ya maana dhidi ya chama chako tuliza kipago πŸ’
 
"MIMI................... NIKIWA NA AKILI ZANGU TIMAMU NAAPA KWAMBA SITAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN KUTOKANA NA MAMBO ANAYOITENDEA TANGANYIKA NA TANZANIA KWA JUMLA NA MUNGU NISAIDIE KUYAKUMBUKA MUDA WOTE"
 
Kwa hiyo ni halali kugawa Pikipiki zilizoandikwa SSH2025 Kwa akili zako timamu? Toeni ushauri kwa washauri wake. Hata Wana CCM wenzenu wanaojitambua wako against na hili.
 
Kama ni kweli πŸ™ƒπŸ§πŸ˜«$)!@;/-β€œ!?}+€<\}#Β₯=!!!?
 
Kwa hiyo ni halali kugawa Pikipiki zilizoandikwa SSH2025 Kwa akili zako timamu? Toeni ushauri kwa washauri wake. Hata Wana CCM wenzenu wanaojitambua wako against na hili.
ndio,
ni pikipiki za chama, hayupo wa kuipangia CCM ifanye nini na mabilioni yake ya ruzuku πŸ’

na for your information hiyo ni sehemu kidogo mno ya ruzuku kwa mwaka huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa πŸ’

mwakani kwenye uchaguzi mkuu mbona mtaimba mtaisoma namba vizuri sana....
unadhani ushindi wa kishindo unakuaga rahisi rahisi tu, alafu eti mje na visingizio vyenu vya kushindwa uchaguzi ng"weng"weng"we thumehibiwa kutha nyambafu 🀣
 
Haa haaπŸ˜…πŸ˜…

Hivi mjinga kama wewe unastahili kuambiwa kwa lugha gani Ili uelewe?

Ni hiyo uliyoisoma Ili iamushe akili yako vyema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…