Mpaka na refa wameambiwa wachague wao lakini wanaogopaKingine mlichoambiwa ni hiki , Chagueni lugha ya kufanyia Mdahalo huo , hata kama ni kisukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka na refa wameambiwa wachague wao lakini wanaogopaKingine mlichoambiwa ni hiki , Chagueni lugha ya kufanyia Mdahalo huo , hata kama ni kisukuma
Ndiyo tunataka kuwapima sasa[/QUOTE]Dah...[emoji15]Dah....tatizo watz hatuhitaji Rais mwenye pereteperete nyingi.... tunahitaji Rais atakaye watetea wanyonge....atakayesimamia rasilimali zetu...atakayesimamia kama Rais...not a remote controlled one
Kukaa kimya nalo ni jibu.Kujenga JNHPP ni kitu kimoja na kupata MW 2100 ni kitu kingine. Una commit leo USD 6,000 kwa umeme unaotokana na maji wakati una vyanzo vingine vya renewable energy kama gesi, upepo na geothermal. Ni udwanzi!
Ni ujinga kumkutanisha kwenye mdahalo MTU aliyechukua HKL na PCM,inafahamika wazi kuwa tobolisu ni muongeaji sana kutokana na kukalili sheria na historia wakati huyu mwingine ni mtu wa kutenda vitu vionekane na anachokituamia tobolisu ni kuaminisha watu kupitia kuongea kwake lakini si mtendaji kama anavyowaamisha watu, mfano mdogo ni ahadi alizotoa ni nyingi na zote zinaitaji pesa, ameahidi kufumua mifumo ifuatayo:TRA ,HABARI MAELEZO, ELIMU, KATIBA MPYA, MIFUKO YA JAMII, AFYA pia ameahidi kulipa fidia kwa waliondolewa kwa vyeti feki.Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"
=====
LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mhe. Tundu Lissu ametoa wito kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Mhe. John Magufuli, kuwa tayari kushiriki mdahalo utakaowakutanisha wagombea hao wawili ili waeleze na kuhojiwa kuhusu maono na mipango yao ya namna ya kutekeleza agenda zinazohusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watanzania, ikiwa ni sehemu ya wapiga kura kuwapima na kuwajua vyema washindani hao wakubwa katika nafasi ya juu ya uongozi wa nchi....
Jamaa kwani wewe umefanya niniAnatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
Pia Mh Lissu anayo haki ya kuomba mdahalo na Jiwe, ila kama Jiwe anaogopa pia ana haki ya kukataa, kama lugha kwake ni tatizo amepewa uhuru wa kuchagua lugha yoyote ambayo yeye(Jiwe) atakuwa comfortable.Tundu Lissu hajajitengenezea utaratibu mzuri wa kupewa "offer" ya mdahalo.
Midahalo ni "privilege" yaani upendeleo na si "right" au haki.
Isitoshe, midahalo huwa haiombwi au kushurutishwa na mgombea au wagombea
Hiyo ni kazi ya vyombo vya habari ambayo hufanywa baada ya kuridhishwa na sera walozisikia kutoka kwa kila mgombea wa vyama viwili vikuu.
Nitulie kivipi? Anasaini waziri ambae ni mbunge ndio wa kawaida atazuiwa kuipata kama anaihitaji? Uliza ni mkataba gani ambao bunge au mbunge akiutaka Serikali itakataa kuutoa.Hebu kaa utulie tafadhali.
Kweli hukui jibu ya hilo swali lako? [emoji848][emoji848][emoji848]Mbona wagombea wako wengi tu, kwanini iwe ni John tu.
Kuna Membe, Rungwe n.k anaweza fanya nao mdahalo pia.
Unajua lengo la mdahalo wewe mataga? Kama hukui rudia kusoma tena
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"
=====
LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mhe. Tundu Lissu ametoa wito kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Mhe. John Magufuli, kuwa tayari kushiriki mdahalo utakaowakutanisha wagombea hao wawili ili waeleze na kuhojiwa kuhusu maono na mipango yao ya namna ya kutekeleza agenda zinazohusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watanzania, ikiwa ni sehemu ya wapiga kura kuwapima na kuwajua vyema washindani hao wakubwa katika nafasi ya juu ya uongozi wa nchi...
Nitulie kivipi? Anasaini waziri ambae ni mbunge ndio wa kawaida atazuiwa kuipata kama anaihitaji? Uliza ni mkataba gani ambao bunge au mbunge akiutaka Serikali itakataa kuutoa.
Lengo la mdahalo ni ku assess uwezo wa kujieleza na kuelezea mipango yake.
Uwezo wa JPM tumeuona kwa vitendo hakuna haja ya blablaa
Mwambien Lissu afanye mdahalo na Rungwe na Membe ndio wa level yake
Anayesema kuwa alisukumiziwa ndani au nani unamzungumzia?Hata Hayati Mwalimu Nyerere alikulia kijijini akichunga ng'ombe.
Baadae akatimkia shule na akaanza shule akiwa na miaka 12, na "upstairs" akawa si wa kawaida.
Huyohuyo umwonae mshamba leo hii kakuzidi akili, yeye ni raisi wa nchi.
Ahaaa!Narudia tena, hebu kaa kimya boss.
So tukusaidie nini ndugu Mwalimu wa Marekani?Mimi ninaongea na kuandika kiingereza vizuri sana kuliko Lissu na Magufuli; ni matokeao ya nature ya kazi yangu ambapo nimekuwa mwalimu Marekani kwa takriban miaka 25 sasa. Je mimi ndiye ninafaa zaidi kuwa rais wa Tanzania? Nimemsikiliza Lissu anpoongea kiingereza jinsi anavyokosea na anatumia tabia ya kuweka pause kwa muda mrefu ili kurekebisha makosa hayo, na nimesikia Magufuli pia anapoongea kiingereza yeye anaongea kwa haraka katika lafudhi ya kisukuma na hivyo kufanya makosa ya matamashi fulani. Kati yao hakuna bingwa.
Yaah!Mkuu tuliza akili,utapasuka. Unashindana na jitu ambalo kundi kuuubwa la viongozi wako limemshindwa kwa hoja