Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Enzi hizo Akili za Profesa Kitila zinafanya kazi Vizuri. Kabla hajawa profesa wa Jaralani pia aliwahi kusema.

"Mtu mwenye akili timamu hawezi Akaipa kura CCM."

.TUWE NA AKIBA YA MANENO.
 
Haya ni maoni ya Dr.Kitila Mkumbo.mgombea nafasi ya Ubunge kwa kupitia CCM jimbo la ubungo.View attachment 1570902

Hawa ndiyo wale wanasiasa wanafiki. Kwenye hilo pamoja na huyu wamo pia:

Mpara magamba, Tulia mama, Mwachembe, Ndugui, Kafulila, Lipumba, Mbatia, Mrema, cheyo, mkenda na wa namna hiyo. Si kuwa hawajui Ila wanafikiria kwa matumbo yao kwanza.

Ikumbukwe hawa ni tofauti na kina jiwe, machaliwa, chamia, makondakta, mboga, mnyuti, mchukuma, chibajaji na wa namna hiyo ambao wao ni umbumbu tu.
 
Ccm kumbukeni mwaka 2015 mliomba mdahalo baada ya kuona mgombea wa ukawa ni dhaifu,,Sasa mnaombwa mdahalo mnaanza kujinyata nyata inamaana Rais wetu anaogopa mdahalo wa kuelezea ilani na sera ya chama chake?mdahalo ni sehemu ya kufanya kampeni hofu ya nini?rais ni msomi tena degree tatu na amefanya presentation kibao ana uzoefu na pia kwa miaka 20 amekuwa waziri alikuwa anajibu maswali bungeni,akikataa mdahalo ataonesha ni dhaifu anastahili tumtumbue atakuwa na cheti feki,, haiwezekani PHD mzima uogope mdahalo.
eti!! eti!! kwanza sijuwi kama Lissu anayo masters degree inawezekana ana kabachela tuu ..hofu yanini kwa mtu Phd holder??
 
16 September 2020
Tundu Lissu, Mukhutasari wa Kampeni na David DJumbe, Msaidizi Mkuu wa CHADEMA Taifa.
Nyerere alipenda uwazi wa viongozi wakuu kuongea na waandishi wa habari, kujibu maswali na midahalo

source : swahili villa
 
Wataalamu wa siasa wasema itakuwa ngumu CCM Mpya kuitisha mdahalo kutokana na mfumo wa kiuongozi na utawala wa CCM Mpya kubinya uhuru wa habari.
 
Back
Top Bottom