Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

..naamini walitumwa na "maagizo kutoka juu."

..hivi ni nani mwenye mamlaka ya kuondoa ulinzi wa serikali area D na kuruhusu tukio kama lile?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani hayo mamlaka yana mpa ulinzi Lisu wamlinde kipindi chote cha kampeni, alafu hayohayo mamlaka yaondoe ulinzi ili hayo hayo mamlaka yatume majambazi yamshambulie?

Akili matope hizi
 
..sasa aliyeondoa walinzi area D ni nani?

..Na aliwaondoa kwa malengo gani?
 
..inasemekana "maagizo kutoka juu" ndiyo yaliondoa walinzi ili kupisha magaidi waliotumwa kumuua Tundu Lissu.
Hayo magaidi yaliyotumwa halafu yakamficha dereva wake asitoe ushaidi mahakamanii. Acheni maigizo yenu yameshabumaa
 
Nilimtega swali akaingia kichwakichwa sasa analia .umatuhumu mtu then anakupa ulinzi
Huna uwezo wa kunitega we kiazi, mgombea Urais ni haki yake kupewa ulinzi, kama mnajiamini kwanini mpaka leo mmegoma kumuhakikishia usalama wake?
 
..aliyesema walinzi waliondolewa ni Tundu Lissu.

..anayeweza kukanusha tuhuma hizo ni dereva wake, au magaidi waliotumwa kumuua.
Dereva wake akija anafikia urafiki
 
Kiazi ni wewe unayesema walitaka kumuuwa wakampa walinzi ili washindwe kumuuwa hivi unaakili kweli mtu anayetaka kukuuwa anakupa walinzi ili asikuuwe .mjinga sana wewe
Huna uwezo wa kunitega we kiazi, mgombea Urais ni haki yake kupewa ulinzi, kama mnajiamini kwanini mpaka leo mmegoma kumuhakikishia usalama wake?
 
Back
Top Bottom