Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Dereva wake akija anafikia urafiki
Jione ulivyo mjinga, huko urafiki ndio kwenye haki?mnawatisha halafu wakiondoka nchini mnawaita wasaliti, kwanini msimpeleke mahakamani kama mnajiamini? kubishana na mazuzu ya aina yenu ni kupotezea muda tu.
 
Kiazi ni wewe unayesema walitaka kumuuwa wakampa walinzi ili washindwe kumuuwa hivi unaakili kweli mtu anayetaka kukuuwa anakupa walinzi ili asikuuwe .mjinga sana wewe
Wewe tahira huwezi kuchunguza mazingira na wakati halafu ukatafakari hata dakika moja.
 
Kwa wale wajinga wa lumumba mnaoushambulia huu uzi kwa vicheko.

Tambueni mtu anaweza kuiwakilisha taasisi, Chadema wakisema wameenda ICC hawana maana wote kuanzia KM , Mwenyekiti, Makamu wake na viongozi wengine wote watajikusanya waende huko.

Hapa atateuliwa mmoja akiwakilishe chama, then chama kitatoa ushirikiano kwa huyo atakaeteuliwa kwenda kufungua hiyo kesi, na hiki ndicho kilichofanyika hapo.

Sasa kuendelea kushangilia jambo dogo kama hili mnaoneaha mlivyo watoto wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo ya msingi halafu mmejaa ujuaji wa kizuzu tu, tulieni muelimishwe, Lissu kwenda huko ndio sawa na kusema Chadema yenyewe imeenda huko, kwasababu anapata support yote toka kwa chama chake.

Hao Chadema wanajua taasisi hairuhusiwi kufungua kesi huko ni individuals ndio huruhusiwa, na ndio maana Lissu kasema hivyo; sasa muwe mnasoma kidogo haya mambo halafu mruhusu akili zenu zifanye kazi japo najua wengi wenu mna akili fupi sana, ila jitahidini hivyo hivyo nasi wengine tutawasukuma tu mpaka mfike mnapotakiwa.
 
..kama watawala hawakumsaidia wakati ule yuko mahututi hajitambui unadhani watamsaidia sasa wakati anaweza kujisemea?

..watawala ndio walioondoa ulinzi wa area D ili kupisha magaidi waliowatuma wakamuue Tundu Lissu.

.
Majungu hayo.
 
Huna uwezo wa kunitega we kiazi, mgombea Urais ni haki yake kupewa ulinzi, kama mnajiamini kwanini mpaka leo mmegoma kumuhakikishia usalama wake?
Wewe ndio kiazi sana kwani alipokuwa hapa anapiga kampeni akihakikishiwa usalama na nani?

Kwanza apewe u VIP treatment huo yeye kama nani? Raia wote wa nchi hii wanaishi kwa amani na usalama yeye anataka huo uspecial kama nani? Mbona alirusha chopa toka Kia to dar akisema haogopi?
 
Hizi njaa mbya sana basi Mungu atujalie shibe
 
Siku Watanzania walipoogopa kuandamana na ACT kuingia kwenye serikali ya Zanzibar ule ulikuwa mwisho wa ICC. Tuache kudanganyana.
 
Jiwe ajiandae kupanda ndege!! Mwezi wa tatu ngoma uwanjani; sasa kama yeye ni kidume agome kwenda tuone!!

Jogoo wangu nazidi kumlisha....ahadi yangu ipo palepale
 
Siku Watanzania walipoogopa kuandamana na ACT kuingia kwenye serikali ya Zanzibar ule ulikuwa mwisho wa ICC. Tuache kudanganyana.
That is neither here, nor there with regards to my point.

Kwani nani kasema ulikuwa mwanzo wa ICC.

Unaelewa hoja yangu ni ipi hapa au unadandia treni kwa mbele tu?

Mimi naandika kuhusu a very specific point.

Wewe umekuja off point kabisa.
 
Haya mambo ni magumu na sio mepesi kama watu tunavyodhani
 
Yaani sasa hivi ndiyo wamelijua hilo kwamba hawana haki ya kufungua kesi ye yote ICC. Halafu wanajidai wana wanasheria mahili wakati ni vilaza wa sheria - wanajifunza kwa google ambayo kila mtu anaweza kugoogle!

ICC ni mahakama ya UN Security Council ambayo rafiki yetu China na Urusi wana kura ya turufu. Ni kwa ajili ya nchi huru moja kuishitaki nchi nyingine huru kupitia UN Security Council. It is between sovereign states. Haiko kwa ajili ya wanaharakati hao uchwara ambao dunia inawafahamu na inawashangaa.
 
That is neither here, nor there with regards to my point.

Kwani nani kasema ulikuwa mwanzo wa ICC.

Unaelewa hoja yangu ni ipi hapa au unadandia treni kwa mbele tu?

Mimi naandika kuhusu a very specific point.

Wewe umekuja off point kabisa.
Hebu tuambie hiyo specific point.
 
Huyu jamaa kweli anajua anaogoza nyumbu


Wataamini kila atakalolisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…