Alishamaliza kulihutubia security council. Jamaa anawafanya kmaa wehu vile. Zamani sikulioenda neno nyumbu kulitumia sasa naamini linawafaaHata hawajui kuwa, jamaa ndiyo huyo anaenda kuwa UN - General Secretary wao.
Yale yale ya yule mama wa NIMR (Malecela), unaharibu utu wa mtu mwisho wa siku, Mungu muumba anamwinua na kumrejeshea heshima ya utu wake.
Mtoa mada anasema kwamba, Tundu Lissu anaongelea mambo basic na self explanatory ambayo mtu yeyote anayesoma ICC charter ataelewa tu.Hebu tuambie hiyo specific point.
Inachekesha kivipi mkuuUmenichekesha sana.
Yaani sasa hivi ndiyo wamelijua hilo kwamba hawana haki ya kufungua kesi ye yote ICC. Halafu wanajidai wana wanasheria mahili wakati ni vilaza wa sheria - wanajifunza kwa google ambayo kila mtu anaweza kugoogle!
ICC ni mahakama ya UN Security Council ambayo rafiki yetu China na Urusi wana kura ya turufu. Ni kwa ajili ya nchi huru moja kuishitaki nchi nyingine huru kupitia UN Security Council. It is between sovereign states. Haiko kwa ajili ya wanaharakati hao uchwara ambao dunia inawafahamu na inawashangaa.
Ok imekuwa clear kwangu.Mtoa mada anasema kwamba, Tundu Lissu anaongelea mambo basic na self explanatory ambayo mtu yeyote anayesoma ICC charter ataelewa tu.
Nikamuuliza, Watanzania wangapi wamesoma hiyo ICC charter?
Anajiumauma kujibu.
Mjadala wangu na yeye umejikita hapo, huko kwingine kote unaweza kuona kama ni mtu uliyedandia mjadala bila kuelewa specific point ninayohoji ni ipi.