Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Lissu anavuna alichopanda
 
Sijui kama werevu na wapumbavu huwa wanakutana njia moja, ngoja tuone kama itatokea.
Hiyo ya kuita watu wapumbavu haitakusaidia.

Mkiendelea na huu ujinga wenu wa ku deal na ishu za kijinga namna hii, 2025 mtakimbilia si tu kwa Masterdam bali kwa watoto wa Asmterdam kabisa
 
Hivi kapuku kama wewe ndio wa kumuonea huruma Lissu , kwa hiyo elfu 7 unayolipwa kwa wiki ?
Naona mnaishi kwa matumaini kwamba ipo siku jewi ataenda ICC kifupi hilo kamwe halitatokea. Bora nguvu za kulifikiria ukazielekeza kutafuta rejesho la vikoba.
 
Reactions: nao
Lissu ni mtu wa kumuonea huruma sana anaishi maisha ya shida sana ila haachi kujitutumua ili aonekane yumo
Ilifaa zaidi aonewe huruma kipindi alipopigwa risasi
 
Kikwete naye iliishiaje au ndio zile chai cha za Ikulu zilifanya asipelekwe huko ICC?
 
mjue kutofautisha mashitaka na malalamiko ya wapinzani waliofulia.
Mnapeleka malalamiko ya jumla jumla tu hakuna atakaewasikiliza
Uchaguzi umekwisha
 
Reactions: nao
Huyu mtu namuona kama hayawani vile,yaani anajidai kushughulika na mambo makubwa lakini ya kipuuzi ili aendelee kukaa midomoni mwa wafuasi wake.

Poor lissu
Ulimweka midomoni mwa watu zaidi Kwa kumpiga risasi. Poor wapiga risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…