Watanzania wangapi wamesoma ICC charter?
Kuna watu hawajui Kiingereza tu, wewe unaongea ICC charter?
Mimi ningemuelewa mtu anayesema Tundu Lissu anaongea mambo kama kila mtu kasoma ICC charter.
Kama wewe una uelewa wa 10 kwa 10, na wenzako wengi wana uelewa wa 1 kwa 10, Tundu Lissu akieleza mambo kiasi kwamba hata wale wenye uelewa wa 1 kwa 10 waelewe, wewe mwenye uelewa wa 10 kwa 10 unapata tatizo gani kuona Lissu anakuwa inclusive hata hao ambao hawajasoma ICC charter waelewe?
Huelewi kwamba, huyu kama mwanasiasa na muelimishaji, anataka watu wengi zaidi wamuelewe, sio waliosoma ICC charter tu?
Wewe mwenyewe kwanza inabidi ujifunze Kiswahili.
Uelewe tofauti ya suala na swala, havitekelezeki na avitekelezeki. Haimpeleki na aimpeleki.